HAWA VIONGOZI WAJIANGALIE SANA

Uncle Yoso

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
378
262
Kuna Kiongozi mmoja wa nchi Kawakalisha Maafisa wa elimu kuanzia saa 1 asubuh mbaka muda huu utashangaa kiongozi mwenyewe umri nimempita miaka 10.
Jamani cheo sio mkungu wa kuwatwangia watu kila mtu anamajukumu kama yako mheshimiwa tunatofautina vitambi ila mboga ni zilezile
 
Acheni muisome kwanza ... maana nyinyi walimu ndio watumishi wakwanza wenye vihere here nchini ... sometimes huwa mnamsifia jiwe nakumpa sifa ambazo hata hazimstahiki ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: rr3
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom