mtaratibuuuuuu
Member
- Aug 17, 2009
- 60
- 4
Hiyo system yao waliyoianzisha ya vifurush vya channel 35 na channel 45 mbona siyo?,eti ukitaka channel 35 ulipe 9000 ukitaka ya 45 ulipe 18000 kwa mwezi,channel 10 tu wameweka hela hiyo kwa nini wasiseme chnl 70 kwa 18000,halaf kwanza zinakwamakwama halaf wanaongeza hela badala ya ubora, wanakera hawa looo
Bandugu,tatizo huwa sipendi madishi,madishi makubwa juu ya nyumba yangu. Ni kampuni gani nyingine ya kulipia ambayo wanatumia antena za kawaida nikalipie fasta niachane na hawa startimes?.
Bandugu,tatizo huwa sipendi madishi,madishi makubwa juu ya nyumba yangu. Ni kampuni gani nyingine ya kulipia ambayo wanatumia antena za kawaida nikalipie fasta niachane na hawa startimes?.
Hawa nao mtindo wa kulipia kwa dola unatuumiza wengi...Jikaze uamie DSTV
Mbona huku mikonai wenzenu tunakula raha mpaka basi. Yaani kwa cables tu madude ya kufa mtu ambayo dstv wanayauza kwa madolali kibao, huku tunajimwaga kwa kati ya 10,000 na 15,000 kwa mwezi na tunaona mechi zote za premier league, spain na italy. Poleeeeni!