Hawa sijui ni wa familia moja?

Hawa sijui ni wa familia moja?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1409918536796.jpg
 
Tumekuja kucheza kwa marafiki zetu, sisi ni majirani
 
...mkuu mshana kwa heshima na taadhima picha hizi huwa zinaumiza moyo wangu sana, hasa nikifikiria kuna jitu moja limepora haki yao ya maisha bora, inauma sana aisee...!!??
 
...mkuu mshana kwa heshima na taadhima picha hizi huwa zinaumiza moyo wangu sana, hasa nikifikiria kuna jitu moja limepora haki yao ya maisha bora, inauma sana aisee...!!??

Gefu wala usiumie sana kwakuwa bado kitambo kidogo tu sasa....!nakuhakikishia kuna watu watakuja kuyakimbia mahekalu yao
 
Last edited by a moderator:
hii ni familia ya watu8 na niuzazi wa mpango umechua nafasi..lol!

Hahahaa yani alifanya kama mabasi ya mikoani yakitoka pale langu kuu ubungo yanavyofuatana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom