Emc2 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 16,808 Reaction score 16,968 Dec 18, 2012 #1 Sijui hapa mtaani au ndani ya nyumba ya Mungu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 Dec 18, 2012 #2 napita tu kwa kweli.
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,920 Dec 18, 2012 #4 unatafuta ugomvi na wabanika makanisa
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Dec 18, 2012 #5 Tupite haraka
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Dec 18, 2012 #6 Du hii wakiiona si watachoma makanisa tena,please usiionyeshe kwetu Mbagala maana bado tunauguza vidonda
Du hii wakiiona si watachoma makanisa tena,please usiionyeshe kwetu Mbagala maana bado tunauguza vidonda
Mshirazi JF-Expert Member Joined Dec 8, 2009 Posts 444 Reaction score 181 Dec 18, 2012 #7 Duh! hii kali. lakini kaka msikitini huwa hatuingii na viatu,, nadhani hapo ni kanisani au umesahau kama kuna WAVAA KANZU wakristo? Ngoja niitafutie BIT moja ya Rose Mhando nikuwekee ndio utaamini kama hapo ni kwa church
Duh! hii kali. lakini kaka msikitini huwa hatuingii na viatu,, nadhani hapo ni kanisani au umesahau kama kuna WAVAA KANZU wakristo? Ngoja niitafutie BIT moja ya Rose Mhando nikuwekee ndio utaamini kama hapo ni kwa church