Hawa Samsung mbona kama siwaelewi

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,070
1,687
Habar wakuu,

Natumia sim ya samsung A02 nikitaka ku screen shot inakataa ina maana hii cm haina screen shot? Pia nilikuwa najaribu kuangalia option ya finger print pia hakuna ina maana samsung wamechoka kias kwamba wameshindwa kuweka finger print na screen shot kwenye A02?

Chief mkwawa ni kweli hawana screen shot na finger print au mm mwenyewe tu nimeshindwa kugundua zilipo?
 
Sio kila SAMSUNG wana finger print. Hiyo uliyonayo inaweza kuwa na uwezo wake ni mdogo. Usije ukashangaa hata baadhi ya program haina. Kuhusu screen shoot mfuate ledada hapo juu
 
Habar wakuu,

Natumia sim ya samsung A02 nikitaka ku screen shot inakataa ina maana hii cm haina screen shot? Pia nilikuwa najaribu kuangalia option ya finger print pia hakuna ina maana samsung wamechoka kias kwamba wameshindwa kuweka finger print na screen shot kwenye A02?

Chief mkwawa ni kweli hawana screen shot na finger print au mm mwenyewe tu nimeshindwa kugundua zilipo?
Shikilia batani ya kupunguzia sauti na ya kuzimia kwa pamoja Theni unaclick kidogo tu itascreen shot ndugu

Hii simu upande wa Chaji kiboko
 
Habar wakuu,

Natumia sim ya samsung A02 nikitaka ku screen shot inakataa ina maana hii cm haina screen shot? Pia nilikuwa najaribu kuangalia option ya finger print pia hakuna ina maana samsung wamechoka kias kwamba wameshindwa kuweka finger print na screen shot kwenye A02?

Chief mkwawa ni kweli hawana screen shot na finger print au mm mwenyewe tu nimeshindwa kugundua zilipo?

Kama umenunua bila kujua haina finger print scanner basi usishangae sana kuhusu fingerprint scanner.
 
umenunua kopo af unakaumu?
Asa izo dharau kaka ....maisha hatufanan mm nanunua kitu kulingana na pesa yangu inavyoruhusu .... sasa ukisema kopo samsung A02 mama yako atakuwa anatumia nn? Maana ndio unataka majibu ya shit.......inatakiwa uwe mstaarabu na si kukashifu watu umu
 
Back
Top Bottom