sasa kama hao wapinzani hawashindi wafanyaje? watangaze uongo?
Radio one/ITV hopeless kabisa. vimeonyesha upendeleo wa wazi kabisa. Angalia wasifu wa wagombea uraisi ITV, Dr Slaa kiwango cha elimu yake wameonesha mwisho ni kibosho filosofia!!? Radio one utasikia CCM imeshinda kwa kishindo ukinagalia difference ya kura na chama pinzani labda ni 23.
TBC nao kwa kuwa chombo cha serikali imekuwa unprofessional kabisa. Wana-report yanayoipendeza CCM na Serikali yake.