Elections 2010 Hawa Radio One vipi?

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
Hivi Hawa Redio One Wametumwa Na JK? Manake Wanatangaza Matokeo Walioshinda CCM tu. Kuna Harufu Ya Ufisi Hapa.
 
Achana nao sikiliza bbc japo si ya tz lakini inaonesha uzalendo ambao waandishi wetu wangeweza kuuonesha..........ccm imenunua kila kitu
 
ss radio 1 huwajui kwa kujipendekeza ww walipomuona slaa anajaza watu walikuwa wkirushaile miutano yake kama nini sijui ss hv ghafla tu na wao wanachakachuwa..................ufisadi hapo kuliko nini sijui...
 
Hawana jipya, si unajua dawa ya wivu ni ushindi. Kumbuka hata walikataa kurusha habari zinazohusiana na SIMBA.. So UPINZANI JUUU.
 
Bora hata ITV, star tv kaingia mitini kabisa baada ya boss wao kuangukia kidevu
Sasa wako bize na Mzee wa full gospel Kakobe
Wataula mbichi mwaka huu!!!!!
 
Radio one/ITV hopeless kabisa. vimeonyesha upendeleo wa wazi kabisa. Angalia wasifu wa wagombea uraisi ITV, Dr Slaa kiwango cha elimu yake wameonesha mwisho ni kibosho filosofia!!? Radio one utasikia CCM imeshinda kwa kishindo ukinagalia difference ya kura na chama pinzani labda ni 23.

TBC nao kwa kuwa chombo cha serikali imekuwa unprofessional kabisa. Wana-report yanayoipendeza CCM na Serikali yake.
 
Achana nao. Si umesikia hata wakibana wataachia tu. Matokeo lazima yatatangazwa tu. Wapende wasipende.
 
yani startv walisema watarudi kutuhabarisha matokeo now kimya,wamelala naona
wanaweka US midterms??!!!
nyambaf
 
Kwahakika wajamii wote star tv imewauma sanasana,wakat wanatangaza bosi wao dialo kua ameshindwa mtangazaji Yahaya mohd amelia kabisa kamwaga chozi live naushahidi ninao nilijianda nilikua narekodi matangazo yamatokeo,nimerikodi amehuzunika huyo,chadema oyeee!wana mwanza oyeee,wanamageuz hongeren kote tz mlipochagua wagombea waupinzani
 
by the way... BBC wanatumia "radio mshirika"... guess who?.. Radio One. - Hakuna haja ya mcheche. matokeo NI LAZIMA YATOKE! Uuchune usiuchune, matokeo yatatoka.
 
Radio one/ITV hopeless kabisa. vimeonyesha upendeleo wa wazi kabisa. Angalia wasifu wa wagombea uraisi ITV, Dr Slaa kiwango cha elimu yake wameonesha mwisho ni kibosho filosofia!!? Radio one utasikia CCM imeshinda kwa kishindo ukinagalia difference ya kura na chama pinzani labda ni 23.

TBC nao kwa kuwa chombo cha serikali imekuwa unprofessional kabisa. Wana-report yanayoipendeza CCM na Serikali yake.

If u want to know how they are vihiyos ITV & TBC just look their academic background ya watangazaji na waandishi wao, pooooooooooor ni hatari sana kuna watu hata hawajui wanatangaza nini, wapo wapo tu, kooondooooooooo
 
Back
Top Bottom