Kuna muda watu wa duniani wanaongea lugha moja

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,330
4,853
Unaweza sema urusi na ukrain hawapatani na unaweza sema israel na palestina hawapendani, unaweza zani mtu mweupe na mweusi wanabaguana, ila ukweli ni kwamba hawa wote wanafiki tu na hata hivi vita vinavyoendelea kwenye mataifa ni uhuni tu, yaani inafikia muda mtu kashibaa, kavimbiwa kiasi kwamba hata akisikia harufu ya chakula akipendacho, ile harufu inamkela.

Vipi wewe ushawahi shiba haswa mpaka inafikia hatua harufu ya pilau unaiona kama harufu mbaya ila ukiwa na njaa utaona ile harufu kama dhahabu, au pesa na utataman hata wakupakulie chini ili ukidhi njaa yako!!

Ndicho kinachoendelea duniani na kwenye mataifa, viongozi wa kidunia wamevimbiwa kana kwamba wameona hakuna la kufanya ngoja tuanzishe vita, vipi ushawai kuuza kitu cha gharama ili ukidhi shida yako ya muda?

Fikiria upo ugenini huna msaada njaa imekubana au una shida kali na huna hata mia mfukoni una iphone ya m3 sizan kama utavumilia lazima utauza hata kwa laki sasa jiulize kwanini kipindi cha covid19 vita hazikuwepo ndio utapata majibu.
 
, vipi ushawai kuuza kitu cha gharama ili ukidhi shida yako ya muda, imegn upo ugenini huna msaana njaa imekubana au una shida kali na huna hata mia mfukoni una iphone ya m3 sizan kama utavumilia lazima utauza hata kwa laki
The ESau Syndrome.

Ni kweli shibe iliyokithiri ni moja ya sababu ya makufuru na machukizo mengi sana.

Ndiyo maana tukitaka kufanya Toba ya kweli na yenye tija, kufunga kula chakula ni njia Bora na sahihi sana.
 
watu wanauliwa serious mkuu, sio utani

Back
Top Bottom