Hawa Paka Wangu Siwaelewi

Mkuu sio kweli kuwa toka wazaliwe hawajalia, maana siku ile wamezaliwa walilia na wewe ulisikia kama sio kuona
 
Nilikuwa nimewawekea sumu kwenye chakula wakula nimetoka sasa hivi nje nimekutana nao wako buheri wa afya tena bega kwa bega
 
Haaahaahaha duuu lakini nnavyojua paka hawafanyi mapenzi yao hadharani wana staha sana,tena wanasema ukiwaona ni uchuro lol....hao wako si wa nchi hii warudishe tuu kwao watawafundisha watoto tabia mbayaa
 
Baada ya kusumbuliwa na panya kwa muda nikaamua kutafuta paka, kweli since then panya kwangu hakunaa. Huyo paka akazaa dume..sasa tokea hapo huyo dume ndio amekuwa mume wa paka mama na cha ajabu kabisa wameanzisha tabia ya kupigana miti mbele zetu hata mbele ya wageni yaani wenyewe ni popote pale. Inakera sana. Yaani wanaanza romance mpaka kuchapana dushelele mbele ya familia.

Milio ile ya nuksi nuksi kama watoto wanalia wenyewe wanaipiga tena mchana kweupe bila woga

Je, hii ni nuksi au kawaida au ndio utandawazi.

Na juzi juzi hapa kazaa vipaka vibubu havilii vyenyewe ni kutoa macho tu ndani ya miezi miwili sijawahi kuvisikia vinalia hata tone. Nimesha dash out. Wamebakia hawa vicheche-nyegere paka.

Nawagawa wallah watake wasitake!!
Hahahahaha
 
MKUU NIGEE MIE
PAKA WANGU MIE NI DUME LKN HAJAWAHI HATA KUTAMANI DEM
HADI NAMUHISIA LABDA NI SHOGA
ITAPENDEZA ZAIDI NIKIWAPATA HAO LABDA WATAMPA AMSHA AMSHA
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom