mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,349
Hii kahawa haina kashata
Nikki huyoWewe ni yupi kati ya hao?
Nafikiri kwa busara ya uandishi ungeandika; kwa mtazamo wakoKatika jamii yoyote ile ni lazima kuwe na watu ambao Taifa linapaswa kujivunia nao. Kwa taifa Leo tumejaaliwa watu wengi ambao tunajivunia nao, Ila kwa Leo nitawazungunzia watano. Kumbuka hakuna binadamu asiye na mapungufu, hivyo suala la mapungufu liweke kando kwanza kwa kuwa hakuna malaika...
Mimi bado najiuliza hao watu wana shida gani huko?Nilidhani umeandika wasifu wa mslejendary konki wa nchi.
Nimepata hasara kusoma utumbo huu nikidhani ni stake
Usirudi na ujinga tuntarudi
Toa kamasi hizo kichwaniNajua hii ni I'd mpya ya le mubebez
Bado unatafuta bwanaNikki huyo
Another stupid little galAnother shit
Ulitaka kwa mtazamo wako?Nafikiri kwa busara ya uandishi ungeandika; kwa mtazamo wako
Na wewe pia umekosekanaHii list kakosekana Juma lokole tu
Na amber Rutty
Mkuu, mbona ni kama umetumia nguvu nyingi kuandika hewa? Umetumwa?Katika jamii yoyote ile ni lazima kuwe na watu ambao Taifa linapaswa kujivunia nao. Kwa taifa Leo tumejaaliwa watu wengi ambao tunajivunia nao, Ila kwa Leo nitawazungunzia watano. Kumbuka hakuna binadamu asiye na mapungufu, hivyo suala la mapungufu liweke kando kwanza kwa kuwa hakuna malaika...