Hawa ni watu (public figures) watano ambao Taifa linapaswa kujivunia

ĸati ya vitu navojutia mwaka huu ni kusoma huu Uzi wa kidwanzi.... Upuuuzi kabisa f*ckin
 
Nimeziwaza Sana akili zako si Kama nakudharau but najiuliza upeo na uwezo wako wakufikir ndo really umeishia hapa? Yan utauekea thread yakidwanzi hivi hapo labda nick WA pili sikupingi na sio the most ila ho wengine naona umeoneasha uwezo wako WA kufikir ulipoishia hongera
 
We jamaa, ukila kitu cha R Chuga tulia kwanza kama masaa 6 hivi yapite ndiyo uandike uzi.
 
Katika jamii yoyote ile ni lazima kuwe na watu ambao Taifa linapaswa kujivunia nao. Kwa taifa Leo tumejaaliwa watu wengi ambao tunajivunia nao, Ila kwa Leo nitawazungunzia watano. Kumbuka hakuna binadamu asiye na mapungufu, hivyo suala la mapungufu liweke kando kwanza kwa kuwa hakuna malaika...
Nafikiri kwa busara ya uandishi ungeandika; kwa mtazamo wako
 
Nilidhani umeandika wasifu wa mslejendary konki wa nchi. Nimepata hasara kusoma utumbo huu nikidhani ni stake
 
Katika jamii yoyote ile ni lazima kuwe na watu ambao Taifa linapaswa kujivunia nao. Kwa taifa Leo tumejaaliwa watu wengi ambao tunajivunia nao, Ila kwa Leo nitawazungunzia watano. Kumbuka hakuna binadamu asiye na mapungufu, hivyo suala la mapungufu liweke kando kwanza kwa kuwa hakuna malaika...
Mkuu, mbona ni kama umetumia nguvu nyingi kuandika hewa? Umetumwa?

Mfano, huyo namba 1, labda umahiri wake ni kwenye utekaji tuu, baas.

Hao wengine, mmmhh!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom