Don Mangi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,199
- 855
Mkuu upo??kama ni kweli, basi Mungu akusamehe dhambi ( kama unazo) maana ni wafanyabiashara wachache wa aina hii. Be blessed.
Mkuu upo??kama ni kweli, basi Mungu akusamehe dhambi ( kama unazo) maana ni wafanyabiashara wachache wa aina hii. Be blessed.
Unalishangaa hilo wkt wewe mwenyewe unafanyiwa cha juu na familia yako.
Hivi ndo CCM ilipotufikisha.
Kila mahala tunapiga dili
Mkuu upo??
Siku yangu imeisha vibaya sana leo.
Niko kijiwe changu cha kuuza mbao, biashara hamna kabisa. Napigiwa simu na mama tunafahamiana kwa karibu anatuma watoto wake kuja kununua mbao. Nikaanza kujipanga na kufurahi kimoyo moyo, jf weka kule kwa sababu ndo iliyoniweka busy huku nikihesabu magari yanayopita barabarani.
Vijana wakafika wa kike na wa kiume tukaanza kupimiana mbao, shughuli ikiendelea yule wa kike akanifuata anataka nimdanganye mama yao bei ya mbao ili wabaki na hela. Watoto bila hata soni wataka kumuiba mama yao. Karibu nikubaliane nao sijauza hata mabanzi na wiki ndio inakata hii.
Hivi kuna haja gani ya kumuibia mzazi wako? Hela ya huyu mama ni pension yake baada ya kustaafu, watoto wake wa kuwazaa wasipoona huruma nani atamuhurumia?
Cha juu zipo nyingi lakini hii wacha inipite
kipaumbele cha kwanza, chapili na cha tatu kinakuhusu weweTen percente
Kwema kabisa mkuu..Nipo mkuu. Kwema !!!
MeinKempf wewe ni mpumbavu na lofa. Kama siyo una akili za kipumbavu basi wewe utakuwa lofa. Je CCM imekuwepo kwa miaka 54? Ulivyompubavu unashindwa hata kuelewa CCM ilikuwepo lini madarakani. Kibaya zaidi ulivyo lofa hujui wizi kwa watanzania ni sifa ndiyo maana fisadi lowasa kainunua chadema na nyie mnashangilia ili mkapige dili. Kwa ufupi fisadi jizi lako lowasa haliwezi kushindaHayo ndio matokeo ya kukomaaa na Magamba kwa miaka 54
Siku yangu imeisha vibaya sana leo.
Niko kijiwe changu cha kuuza mbao, biashara hamna kabisa. Napigiwa simu na mama tunafahamiana kwa karibu anatuma watoto wake kuja kununua mbao. Nikaanza kujipanga na kufurahi kimoyo moyo, jf weka kule kwa sababu ndo iliyoniweka busy huku nikihesabu magari yanayopita barabarani.
Vijana wakafika wa kike na wa kiume tukaanza kupimiana mbao, shughuli ikiendelea yule wa kike akanifuata anataka nimdanganye mama yao bei ya mbao ili wabaki na hela. Watoto bila hata soni wataka kumuiba mama yao. Karibu nikubaliane nao sijauza hata mabanzi na wiki ndio inakata hii.
Hivi kuna haja gani ya kumuibia mzazi wako? Hela ya huyu mama ni pension yake baada ya kustaafu, watoto wake wa kuwazaa wasipoona huruma nani atamuhurumia?
Cha juu zipo nyingi lakini hii wacha inipite
MeinKempf wewe ni mpumbavu na lofa. Kama siyo una akili za kipumbavu basi wewe utakuwa lofa. Je CCM imekuwepo kwa miaka 54? Ulivyompubavu unashindwa hata kuelewa CCM ilikuwepo lini madarakani. Kibaya zaidi ulivyo lofa hujui wizi kwa watanzania ni sifa ndiyo maana fisadi lowasa kainunua chadema na nyie mnashangilia ili mkapige dili. Kwa ufupi fisadi jizi lako lowasa haliwezi kushinda