Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 May 29, 2014 #1 Tazama mrembo huyu kwenye picha ya kwanza na huyo mama upande wa kulia kwenye picha ya pili.
kawakama JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 1,299 Reaction score 391 May 29, 2014 #2 unamaanisha nini mkuu, sijakuelewa kabisa
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 May 29, 2014 #3 Do u mean :A S confused:huyo mrembo kawa used 2 screper?
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 May 29, 2014 #4 Mkuu unamaanisha kuwa wao huchanua na kunyauka au unamaana nyingine
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 May 29, 2014 Thread starter #5 bysange said: Mkuu unamaanisha kuwa wao huchanua na kunyauka au unamaana nyingine Click to expand... Nadhani make up ina mata sana.
bysange said: Mkuu unamaanisha kuwa wao huchanua na kunyauka au unamaana nyingine Click to expand... Nadhani make up ina mata sana.
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 62,101 Reaction score 127,847 May 29, 2014 #6 Ndibalema said: Nadhani make up ina mata sana. Click to expand... Hiyo ndo habari ya mujini
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 May 29, 2014 #7 Umezipata wapi picha zote 2?
theki JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 2,721 Reaction score 587 May 29, 2014 #8 Hapo juu enzi zile mpakanjia nae yupo anatoa huduma chini kidogo age imemtupa mkono na wenzetu wakishafika 30's na kazaa kidogo wanabadilika.
Hapo juu enzi zile mpakanjia nae yupo anatoa huduma chini kidogo age imemtupa mkono na wenzetu wakishafika 30's na kazaa kidogo wanabadilika.