Hawa ni Wadada Wa JF..

My ex love Boflo na my love Kaunga, hapo i was in another world.

si mnaona nilivobana mapaja? naomba nisiende in details wapenzi wangu. mwaaaah.
 
Last edited by a moderator:
hahahah, wanaangalia nini hao, mbona macho wameyatoa "pima"!!
 
mmh hiyo ni friji kweli Lily Flower? ni kama PC tower

Hahahha mie pia alivyosema friji nikarudi kuitizama upya sikuiona lol....ukiiangalia kwa haraka ni kama kafriji kadogo!
 
naona kama wanacheza Delta Force hapo. Tazama screen vizuri!
 
Boflo unanitafuta, ujue mie siku hizi mama lishe?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…