Hawa ni ndugu?

Hawa ni ndugu?

xaxa = sasa
xana = sana
mix = miksi
.........
....
..

Mbona idadi ya herufi ni ile ile . . . .sijui wanaonaga ugumu gani kuandika tu kawaida.
Bora hata hapo kwenye "mix & miksi" kidogo herufi zinapungua.
 
Mnaenda off topic
 
Ni swaga tuu..

Kumbee??
Haya bana wana digitali . . .

Sie wa S.L.P Chini ya mwembe hayo mambo lazima tuyashangae kwakweli.
Ila sasa muwe mnaangalia, mkiwa mnakomyuniketi nyie kwa nyie ndo muwage mnaandikiana hicho kiswaga chenu.
 
Back
Top Bottom