Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,261
- 1,883
N
Ndullu anatoka Morogoro!!! Unajingine mtafuta makabila ya watu!!!Una hoja nzuri sana mkuu. Magufuli lazima aambiwe ukweli. Yeye hana hakimiliki ya UKWELI. hajahodhi UKWELI. kama Muhongo alivyowahi kusema, UKWELI UTABAKIA KUWA UKWELI. Ila nadhani Benno Ndulu anamgwaya kwa ajili ya nafasi yake? lakini Huyu jamaa anatoka mkoa gani? maana haya maswali yanaanza kuwa muhimu kujiuliza. Kwa utawala wa Mkapa au JK nisingejiuliza, lakini kwa Magu, mmmhh... inabidi ujiulize mtu anatoka mkoa au kanda gani katika Tanzania