Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
Ndio nimeuliza wapi wanapatikana ili na mimi nijue. Nilishaona ng'ombe kama huyo sehemu., ni maziwa tu kila siku.Basi mkuu nipe reference nami nijifunze zaidi. Sina nia ya kubisha.
Ndio nimeuliza wapi wanapatikana ili na mimi nijue. Nilishaona ng'ombe kama huyo sehemu., ni maziwa tu kila siku.Basi mkuu nipe reference nami nijifunze zaidi. Sina nia ya kubisha.
Hivi hao si ni Boran kweli.Ninao sita mkuu njoo njombe ujitwaalie kama una cash
cha kuongopa mkuu mimi nimenunua huko Kitulo sio hivyo usemavyoNg'ombe ambao wanaotoa maziwa muda wote wanapatikana kitulo.