InvisibleTarget
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,138
- 2,183
jina na profile vinaendana, hakika ndiye.mshuza ndio huyo kamatia fursa hyo na ile avatar yake na hzo mvua
jina na profile vinaendana, hakika ndiye.mshuza ndio huyo kamatia fursa hyo na ile avatar yake na hzo mvua
Mkuu tukae pemben tu tuachie Mr vitambiz Kila 75 kwenda juuDah mimi mwenye kilo 62 kumbe nadharauliwa
Pole mremboAfwafhali umesema nandomsikie sasa mxuuuuu... nyoko nyoko eti uyu ni dume nyoko nyoko eti unaandika ka me mxuuuuu mkafie mbele uko.
Kweli kuna watu hawana akili kabisa. Mtu unamwaga number yake ya simu ovyo ovyo. Ndiyo maana kuna watu hupotea lakini wakirudi, adabu mbele.dah!, kuna watu wanajiamini sana na usalama wao hapa jf.
hivi kumbe mpaka kwenye utawala huu wa mashaka na hofu wa jiwe bado mpo watu mnaotumiana picha na namba za simu!!.
Watu wanatongoza vivuli. Mtu humjui, ID zetu fake, bado mtu anatongoza.Bora humu sijawahi kumtongoza mtu
Wanawake wa JF kumbe mnapata masaibu mengi