Hapo ndio umetibua kila kitu kwenye huu uzi...humu 60-70 zimetamalaki bora hata ungeishia kilo 50 au 60. Umeleta kigezo kipya....nna 75, afya ipo ?kianaume kina kilo 40-70 kinakuja eti kunitongoza.mmfyuuuu.....
Kwahyo Athletics body hazitakiwi kwa Mshuza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dunia ina mambo hii kweli yalimwengu Ni meng kuyamaliza huwez[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Niwachambe na nyie vitoto vya kiume mnaokuja PM Kutongoza.mnatuma picha na namba zenu za simu kwenye picha mnaonekana hata afya hamna.kianaume kina kilo 40-70 kinakuja eti kunitongoza.mmfyuuuu..... nenda kale kwanza upate afya siyo kutafuta pa kufia.
Sijali wala nini....ndo nshasema hivooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BMI ndio utajua una afya au hauna afya unaweza ukawa 70kg .,.. lakini ukawa Kila leo mgogoroHapo ndio umetibua kila kitu kwenye huu uzi...humu 60-70 zimetamalaki bora hata ungeishia kilo 50 au 60. Umeleta kigezo kipya....nna 75, afya ipo ?
according to mleta mada Healthy and Weight is Direct Propotional...msimu wa embe tule embe mkuu.😀BMI ndio utajua una afya au hauna afya unaweza ukawa 70kg .,.. lakini ukawa Kila leo mgogoro
Dah! Hatari sana mkuuKuna kamchepuko kangu anamuonekano huu huu halafu ni mke wa mtu.....nimeona bora tu aendelee kunifilisi kuliko kumuacha mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya wenye vitambiaccording to mleta mada Healthy and Weight is Direct Propotional...msimu wa embe tule embe mkuu.[emoji3]
tusifanyiane hivyo mkuu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya wenye vitambi
1. Wanaume ambayo wanaandika threads kujiongelea mambo yao au mambo general.
2. Wanaume ambao hawana matusi hata kunapokuwa na hali ya wao kuchokozwa hunyamaza au kupuuza.
3. Wanapenda kushare mambo na wenzao si wachoyo wa taarifa.
4. Si wale hujifanya wao wanajua sana kutongoza kila mwanamke.
5. Wanaojiheshimu na kuheshimu mawazo ya wengine.
Hawa wanaume wapo JF ingawa ni wachache.kuna ambao wanakuja PM kutaka wanawake ukimkataa basi anaamua kukuchafua.wengine wanakuwa na tabia za kike tena za mabaa medi.ukimkataa basi kila ukianzisha thread anakuja kuponda au kama wewe ni mwanamke atakuita mwanaume kwa kukuchagulia ID ya mwanaume ambaye anahisi wewe unamkubali.
Niwachambe na nyie vitoto vya kiume mnaokuja PM Kutongoza.mnatuma picha na namba zenu za simu kwenye picha mnaonekana hata afya hamna.kianaume kina kilo 40-70 kinakuja eti kunitongoza.mmfyuuuu..... nenda kale kwanza upate afya siyo kutafuta pa kufia.
Sijali wala nini....ndo nshasema hivooo...
mshuza ndio huyo kamatia fursa hyo na ile avatar yake na hzo mvuatusifanyiane hivyo mkuu.