Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,329
- 14,517
Snowdens and Assange never faced threats of extrajudicial killing by their states. Russia is Tanzania’s role model—disregard it!That is how intelligence systems operate globally: once you enter the system, you maintain absolute silence. Look at Edward Snowden, Julian Assange, or Alexander Litvinenko, who was ruthlessly liquidated with polonium on British soil. If you compromise classified intelligence, you seal your own fate; there is zero chance of survival.
Kwanini Snowden alikimbilia Russia kujificha sasa? Kama aliyokuwa akiyafanya ni mazuri si arudi USA!!Snowdens and Assange never faced threats of extrajudicial killing by their states. Russia is Tanzania’s role model—disregard it!
Snowden alifunguliwa mashtaka mahakamani na angefungwa sio kupotezwa bila hata kufikishwa mahakamani.Kwanini Snowden alikimbilia Russia kujificha sasa? Kama aliyokuwa akiyafanya ni mazuri si arudi USA!!
HapanaMimi ni Mtanzania safi kutoka Mbeya
MunguHakuna mbwa yoyote kutoka tecdema ya kumtoa rais madarakani hadi hapo 2030..
Mimi ni Mtanzania safi kutoka Mbeya
Kwa hiyo kukinukisha ni uhaini?Kwa huyu Polepole amepata mshahara wa dhambi yake. Ukiwa mtu wa mfumo lazima uishi na siri za mfumo. Kitendo cha kuanza kuropoka mambo anayoyajua kuhusu Serikali ilikuwa sawa na kusaini death warrant yake yeye mwenyewe.
Polepole ni muasisi wa michezo michafu ya kuteka na kuua enzi wakiwa na Magufuli. No sympathies
Tundu naye ni mhaini, kauli yake ya kukinukisha tuliisikia
Siri za watu kuiba rasilimali za nchi ndo kosa la Polepole nyie mnaofaidika na mfumo wa wizi wa rasilimali mwisho wenu hauko mbali sana uzuri wananchi wanaendelea kujitambuaKwa huyu Polepole amepata mshahara wa dhambi yake. Ukiwa mtu wa mfumo lazima uishi na siri za mfumo. Kitendo cha kuanza kuropoka mambo anayoyajua kuhusu Serikali ilikuwa sawa na kusaini death warrant yake yeye mwenyewe.
Polepole ni muasisi wa michezo michafu ya kuteka na kuua enzi wakiwa na Magufuli. No sympathies
Tundu naye ni mhaini, kauli yake ya kukinukisha tuliisikia
Mbeya hatuna watu wapumbavu namna hiiMoneya kuna wajinga kiasi hiki?
Wewe ni msengerema, kmmkKwa huyu Polepole amepata mshahara wa dhambi yake. Ukiwa mtu wa mfumo lazima uishi na siri za mfumo. Kitendo cha kuanza kuropoka mambo anayoyajua kuhusu Serikali ilikuwa sawa na kusaini death warrant yake yeye mwenyewe.
Polepole ni muasisi wa michezo michafu ya kuteka na kuua enzi wakiwa na Magufuli. No sympathies
Tundu naye ni mhaini, kauli yake ya kukinukisha tuliisikia
Yaani, kweli mfamaji!hangaya kachoka Urais, anapaswa kupumzishwa, yaani Ana hoja Duni mno!
Hakuna mtu wa Mbeya anayesupport ujinga Kama huu hata mwashambwa, hasa support!Mimi ni Mtanzania safi kutoka Mbeya
Mjinga ni wewe unayeandika Moneya badala ya MbeyaMoneya kuna wajinga kiasi hiki?
Wewe ni msengerema, kmmkWewe ni msengerema, kmmk
so we have to treat them heartlessly!Sasa unafikiri kuna mtu anaweza ata? Hao jamaa walisha ota sugu they are all heartless
Fact kwamba tunatofautiana opinion ndiyo inakamilisha takwa la katiba la uhuru wa maoni. Siwezi kufikiria kama wewe. Usidhani kwa kuwa wewe ni mzaliwa wa Mwakaleli basi una haki ya Mbeya kuliko watu wengineHakuna mtu wa Mbeya anayesupport ujinga Kama huu hata mwashambwa, hasa support!
Hata kama ni maoni, Yako yamekosa busara sana,na hii sio ya Mtu wa Mbeya original!Fact kwamba tunatofautiana opinion ndiyo inakamilisha takwa la katiba la uhuru wa maoni. Siwezi kufikiria kama wewe. Usidhani kwa kuwa wewe ni mzaliwa wa Mwakaleli basi una haki ya Mbeya kuliko watu wengine
Swali: Anatoka au hatoki?Hakuna mbwa yoyote kutoka tecdema ya kumtoa rais madarakani hadi hapo 2030..