Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,882
- 141,486
Nani kampa huo Urais mpaka auchokehangaya kachoka Urais, anapaswa kupumzishwa, yaani Ana hoja Duni mno!
Aisee kwa mara ya kwanza maishani mwangu leo nimeona bandiko lenye akili kutoka kwako wewe msukumaWaliomteka Humphrey Polepole.
Waliombambikia Tundu Lissu kesi ya kizushi.
Watu wasiojulikana.
Walioua Watanzania Oktoba 29.
Wanaokiuka katiba na kuiita ‘kijitabu’.
Wanaodai kuwa mauaji ya Oktoba 29 ni kazi ya kutukuka.
Shehe Mwaipopo.
Na wewe Samia ndo gaidi mkuu.
Mpuuzi huna maana yoyote wewe 🖕.
Ameshindwa kabisa yaani!Nani kampa huo Urais mpaka auchoke
..???? Huyo ni Rais haramu aliyejipachika urais kwa kuuwa Watanganyika
Kwa huyu Polepole amepata mshahara wa dhambi yake. Ukiwa mtu wa mfumo lazima uishi na siri za mfumo. Kitendo cha kuanza kuropoka mambo anayoyajua kuhusu Serikali ilikuwa sawa na kusaini death warrant yake yeye mwenyewe.Waliomteka Humphrey Polepole.
Waliombambikia Tundu Lissu kesi ya kizushi.
Walioua Watanzania Oktoba 29.
Mpuuzi huna maana yoyote wewe 🖕.
,,,🤔🤔🤔🤔Kwa huyu Polepole amepata mshahara wa dhambi yake. Ukiwa mtu wa mfumo lazima uishi na siri za mfumo. Kitendo cha kuanza kuropoka mambo anayoyajua kuhusu Serikali ilikuwa sawa na kusaini death warrant yake yeye mwenyewe.
Polepole ni muasisi wa michezo michafu ya kuteka na kuua enzi wakiwa na Magufuli. No sympathies
Tundu naye ni mhaini, kauli yake ya kukinukisha tuliisikia
Hakuna mbwa yoyote kutoka tecdema ya kumtoa rais madarakani hadi hapo 2030..hangaya kachoka Urais, anapaswa kupumzishwa, yaani Ana hoja Duni mno!
You’re entitled to your opinion, but no reasonable person can support state-sponsored terrorism against the state’s own people. That’s lawlessness!Kwa huyu Polepole amepata mshahara wa dhambi yake. Ukiwa mtu wa mfumo lazima uishi na siri za mfumo. Kitendo cha kuanza kuropoka mambo anayoyajua kuhusu Serikali ilikuwa sawa na kusaini death warrant yake yeye mwenyewe.
Polepole ni muasisi wa michezo michafu ya kuteka na kuua enzi wakiwa na Magufuli. No sympathies
Tundu naye ni mhaini, kauli yake ya kukinukisha tuliisikia
Usicheze na Mungu weweHakuna mbwa yoyote kutoka tecdema ya kumtoa rais madarakani hadi hapo 2030..
Kwa hyo siku hz tecdema na chadomoghasia ndo mungu?Usicheze na Mungu wewe
Afande Bagyemu alipokuwa akichezea nyundo ulikuwa wapi kumsaidia ?Tundu naye ni mhaini, kauli yake ya kukinukisha tuliisikia
Huyo bibi Kizimkazi urais kachaguliwa na nani, labda urais wa nyumbani kwake.hangaya kachoka Urais, anapaswa kupumzishwa, yaani Ana hoja Duni mno!
Wewe utakuwa ni Mzanzibari aliyeharibiwa na waarabu wa zanzibarKwa huyu Polepole amepata mshahara wa dhambi yake. Ukiwa mtu wa mfumo lazima uishi na siri za mfumo. Kitendo cha kuanza kuropoka mambo anayoyajua kuhusu Serikali ilikuwa sawa na kusaini death warrant yake yeye mwenyewe.
Polepole ni muasisi wa michezo michafu ya kuteka na kuua enzi wakiwa na Magufuli. No sympathies
Tundu naye ni mhaini, kauli yake ya kukinukisha tuliisikia
🖕Gaidi nyani ngabu.
That is how intelligence systems operate globally: once you enter the system, you maintain absolute silence. Look at Edward Snowden, Julian Assange, or Alexander Litvinenko, who was ruthlessly liquidated with polonium on British soil. If you compromise classified intelligence, you seal your own fate; there is zero chance of survival.You’re entitled to your opinion, but no reasonable person can support state-sponsored terrorism against the state’s own people. That’s lawlessness!
Mimi ni Mtanzania safi kutoka MbeyaWewe utakuwa ni Mzanzibari aliyeharibiwa na waarabu wa zanzibar