ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,490
- 3,618
Tatizo hujasoma title vizuri,hao ni mabondia bora wa karne ya 21.
Karne ya 21 imeanza mwaka 2000 hivyo wamepimwa mabondia waliopigana kuanzia mwaka huo hadi sasa.
Umeelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Karne ya 21 imeanza mwaka 2000 hivyo wamepimwa mabondia waliopigana kuanzia mwaka huo hadi sasa.
Umeelewa?
Mkuu list yako haina
George formen
Muhammad Ally
Itakuwa pana tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app