Hawa ndo Kuku wa Malawi

hii kwangu mpyaaa una changanya kiasi gan? hizo chenga za mkaaa na je una fanya ivo hadi uone dall au hata wakiwa poa??

nigen ila cjaona ajabu maana kipind nakua mama alikua ana walisha chenga za mkaaa nguluwe ktk chakula nilipo uliza kasema ni dawa ya minyoooo
Wadau, nimefuga kuku wa Malawi. Nilichukua vifaranga kama 200 sasa hivi wanaendelea vizuri ni wiki ya 4 sasa.

Kwa mliotangulia naombeni msaada. Je, hawa kuku kuna haja ya kuwalisha hata usiku?

View attachment 367361
 
chenga za mkaa kisia tu mkuu na uwape japo mara tatu kwa week maana hiyo ni njia ya kiasili...
hao sasso wanastahimili sana maradhi na wanakuwa upesi mno. nadhani watu wakija kuwajua hawatafuga kuku tofauti na hao

kama una maswali njoo hewani maana muda wangu umepunguzwa na kazi japo napenda jf 0655404226
 
Hivi wale kuku wa mayai wanaouzwa Interchick ndiyo wanaitwaje?
 
Mkuu nipo mbalizi mbeya nahitaji hao kuku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…