Animal Keeper
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 348
- 283
Hapana wataalamu wa mifugo tunakushaur kuwalisha mchana tuu na usiku waendelee kula chakula kilicho bakia mchana ili kuongeza ukuajiWadau, nimefuga kuku wa Malawi. Nilichukua vifaranga kama 200 sasa hivi wanaendelea vizuri ni wiki ya 4 sasa.
Kwa mliotangulia naombeni msaada. Je, hawa kuku kuna haja ya kuwalisha hata usiku?
View attachment 367361
Wadau, nimefuga kuku wa Malawi. Nilichukua vifaranga kama 200 sasa hivi wanaendelea vizuri ni wiki ya 4 sasa.
Kwa mliotangulia naombeni msaada. Je, hawa kuku kuna haja ya kuwalisha hata usiku?
View attachment 367361
ni chotara wa Malawi mkuuu
na mm nahitaji 0765505756Ili kupangiwa muda ina bidi useme
1.una hitaji vifaranga wangapi
2.wa umrigani?
NB: vifaranga wana tofautiana bei kulingana na umri unao chukulia na mahala wanako patikana
kwa hapa nilipo
Wasiku 1=2000
kuanzia wiki 1-2 =3000
wiki 2-4=5000
Muda wa order hauzidi siku 22
Mbona kama broiler mkuu [emoji124] [emoji779]Wadau, nimefuga kuku wa Malawi. Nilichukua vifaranga kama 200 sasa hivi wanaendelea vizuri ni wiki ya 4 sasa.
Kwa mliotangulia naombeni msaada. Je, hawa kuku kuna haja ya kuwalisha hata usiku?
View attachment 367361
Mkuu naona unataka kupotosha.kuku anapokula majani ndiyo anavyoweza kutoa mayai yenye kiin cha njano.mfano mm nina kuku wa kizungu pure nimewafuga kienyeji kila ck wanataga japo ganda la nje linaonekana kama yai la kizungu but njoo ndani kiini ni cha njano sana.Kwa wa kienyeji, kiini ni cha njano. Sanasana kitakua rangi ya chungwa akila 'sana' majani. Yai shurti kiini kiwe cha njano. Nje ya hapo ni matatizo tu. Hao kuku wa kisasa ndani hata ufanyeje kiini hakiwi cha njano kamwe. Labda mpauko wa njano.
Nahitaji Kuchi, wapi nitawapata mkuu?Hongera ndugu! Kwa hatua uliyoifikia, Mimi nimeshawahi kuwafuga ni mwaka mmoja tu saizi nimeanza kufuga kuku aina ya kuchi.
Ili uweze kuwatunza vizuri chakula Mara nyingi inatakiwa ukiwapa asuubuhi cha kutosha ,huwezi kuongeza , na sijajua mchanganyo wako unawapaje?
Hata hivyo ukiwazowesha kuwapa Mara mbili itakuja kukutesa sana wakiwa wakubwa.
Nakusihi kama wameshafunga manyoya Yale magumu usiku unatakiwa usiwashe taa , lengo la kufanya hivyo ni kuwafanya walale.
Na kama hiyo haitoshi kama unawaachia mwanga kwa ajili ya kuongeza joto tafuta njia mbadala ya kuwapatia joto
Pia kuna mdau amekusihi juu ya chanjo fuatilia mwanzo mwisho, hatua zote.
Kiufupi wanalipa Ukiwatunza vizuri .
Nami niko Morogoro na ningependa kuwapata hao kuku wa Malawi, niunganishe pls...hawa kuku kwa sasa wana patikana maeneo mengi tz ktk poutry productions wanaenea kwa kasi maana kuku hawa ni madini wana vumilia kila hali na magonjwa hapo morogoro wapo ngoja nikutafutie namba za wahusika kwa huko but mi nili combine na washkaji Tukaagiza 1000 wale og malawi kabisa maana nilipo ni mpakan kabisa na malawi then tuka gawana hata hapa nilipo wapo lakin kwa order
Kuchi chotara asilimia kubw wasukuma wanao, sijajua wewe upo wapiNahitaji Kuchi, wapi nitawapata mkuu?
Niko Morogoro...Kuchi chotara asilimia kubw wasukuma wanao, sijajua wewe upo wapi
Tuma picha ya kuku na yai likiwa kabla na baada ya kulivunja. Nakuhakikishia kuku wa kisasa hawezi kuwa na yai kiini cha njano kama yule wa kienyeji.Mkuu naona unataka kupotosha.kuku anapokula majani ndiyo anavyoweza kutoa mayai yenye kiin cha njano.mfano mm nina kuku wa kizungu pure nimewafuga kienyeji kila ck wanataga japo ganda la nje linaonekana kama yai la kizungu but njoo ndani kiini ni cha njano sana.
Hivyo kua makini na coments uzitoazo.u naweza potosha wenzako.
Duuh! Singida siyo mwenyeji ila naamini wanapatikana, Mi nipo Kasulu ,wasukuma wengi wanao ukienda maporini, jaribu na huko uliko kwenda ambako Wapo naamini utapata.Niko Morogoro...
Umemdhibitije paka mkuuHongera sana mkuu me ninao wana week tatu nashukuru wanaendelea zivuri sana paka alitaka kunitia umasikin lakin nimemdhibit