Hawa ndo Kuku wa Malawi

Shukrani Mkuu kwa hizo data,vipi suppliers wake wako wapi hapa tz??Kuna idadi ya kuku inayotakiwa ili ukiagiza wakuletee??Shukrani Mkuu
 
kuku hawa hawakosi soko popote tz maana kwanza ni wakubwa sana na nyama yao si kama nyama za kuku wengine wa kisasa kitu og
hata usipo wauza wenyewe mayai tu yana kulipa haswaaa maana sifa yao kubwa ni kutaga mayai mengi

kuhusu idadi ya kuagiza ni wewe na kujipanga kwako kuanzia vifaranga 100 hadi 1000

NB:kwa wanao anza wana shauriwa kuanza na idadi ndogo ili wazizoee changamoto kwa vitendo walau hata vifaranga 100
 
nami ni pm namaba zako niko karibu na mpakani
 
Kwani wewe upon wapi???.
 
Shukrani Mkuu,tafadhari naomba uweke address zao ili iwe rahisi kuweza kuwapata.
 
Wadau kwa anaetaka,nina vifaranga wa wiki 8 machotara nawauza buku 5 kila mmoja,wapo 20,kaa anaetaka nipm.
 
Jamani hivi kanda ya ziwa naweza kuwapata wapi
 
Utagaji wao ni kati ya 75 to 90 percent kama unawalisha vizuri
 
Attachments

  • 1469300127021.jpg
    89.6 KB · Views: 143
Jitahid uwachanje kaba hawajafikisha mwezi lasivyo utaingia hasara
 
Hawa ndo wana mayai km ya kienyeji kwa nje ila unjano wa kiini chake ni hafifu?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…