Hawa ndiyo wawekezaji wenyewe,asante ccm

Hawa ndiyo wawekezaji wenyewe,asante ccm

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
huyu kaja na professor kutoka China,maisha yanaendelea
10710899_1003095116382994_981727546396419319_n.jpg
 
Kuna vijana wengi tu wa Kichina nawaona wanacheza pool table kwenye bar huku mtaani na wanaongea Kiswahili kuliko Wazaramo.

Huyo ni Mtanzania wa kuzaliwa. Baada ya muda tutawazoea.
 
Safi sana mchina kwa kuona fursa.Tatizo vijana wa kibongo masharobaro na masista duu.

Kijana yuko radhi.azunguke miaka 4 anatafuta kazi ofisin wakati fursa ameikalia.

Kazi ni kulalamika tu.kwenye keyboard
 
hahaahaaa,kwa hiyo tuwaache wachina watufundishe?
 
hiyo picha kapiga tu...sawa na watalii wanavopiga picha wakiwa na mavazi ya kimasai nk
 
Kuna kijana mmoja wa kichina yuko maeneo ya shams Arusha ni fundi toyo anavuta bangi sana na watu wanamtilia mashaka na ukibaka.
 
Safi sana mchina kwa kuona fursa.Tatizo vijana wa kibongo masharobaro na masista duu.

Kijana yuko radhi.azunguke miaka 4 anatafuta kazi ofisin wakati fursa ameikalia.

Kazi ni kulalamika tu.kwenye keyboard

We jamaa umeuwa winga! kwa fastafasta elimu ya bongo haina dhamani
 
Mcha gua jembe si mkulima sisi wabongo ni domo na uchochezi
 
Back
Top Bottom