Hawa Ndiyo Wanawake


Huyo mke atakua Mchaga au Mmburu wa Babati, bishaaaa
 
Inasikitisha sana
 
Kabisa mzee wangu... enzi zenu si kama enzi zetu! Vijana wa kiume ni watu wa kuhurumiwa mno dunia ya leo.
Kwa kweli, na hawa jamaa wa Kataa ndoa hawajui tu madhara yake.

Familia ndiyo msingi wa kila kitu, iwapo hakutakuwa na familia ina maana tutakosa Viongozi kwenye kila sehemu, kuanzia Misikitini, Kanisani, Mashuleni, Hospitali, Wilayani, hadi Rais wa Nchi. Kwani sehemu ya kwanza ya kumuandaa Kiongozi huwa ni kwenye familia.
 
Hii comment imenifanya nitafakari sana ...[emoji58]
 
wanawake wanaua sana waume zao hata bila ya hayo madude uliyoorodhesha hapo,wanaua tu ili wapate kumiliki na kutawala miji itakayoachwa na waume zao
 
wanawake wanaua sana waume zao hata bila ya hayo madude uliyoorodhesha hapo,wanaua tu ili wapate kumiliki na kutawala miji itakayoachwa na waume zao
Mkuu una mifano/visa kadhaa?
 
Lete kisa kizima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…