Hawa Ndiyo Wanawake

Wewe ulijuaje kama mke alijaribu kumuua ili apate kiasi hicho cha pesa?
 
Serikali yetu nayo ina huu ubaguzi, watumishi wa mahakama wanapewa Mil kadha wakifiwa, ila hizi ajira zingine mmmh!!
 
Sijafahamu, sasa hapo unamsifia au unawatahadharisha wanaume wenzio?
 
Yaani milioni 3 ndiyo zimfanye huyo Mwanamke atende kosa la jinai?

Wakati mwingine hata kama unamchukia mtu ibaki wewe mwenyewe sio kutaka kila mtu amchukie, kuna wenzio tunatendewa wema na hao Wanawake hadi tunakosa cha kuwalipa.
 
Hatari..!!!
 
Mkuu Nisaidie no yake kuna mambo nataka kumuuliza
 
Yaani milioni 3 ndiyo zimfanye huyo Mwanamke atende kosa la jinai?

Wakati mwingine hata kama unamchukia mtu ibaki wewe mwenyewe sio kutaka kila mtu amchukie, kuna wenzio tunatendewa wema na hao Wanawake hadi tunakosa cha kuwalipa.
πŸ“ŒπŸ“ŒβœŒ
 
Sahv Hawa mbwa wanawaza mali tu

Kiongozi wetu sahii vitu vyake vinagawanywa pasu Kwa pasu na mkewe

Mkewe aliwah kumshitak ili ampe duka,jamaa akaamuliwa ampe kwel akampa likawa limemshinda likafilisika baadae akaanzisha kesi ya kugawana vitu pia kashinda leo ndo wapo wanawagawanyisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…