Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,715
- 24,511
Ni kisa cha kweli?Kuna mke wa mfanyakazi wa taasisi yetu alisikia kuwa mfanyakazi akifa, siku ya mazishi mke wake atapewa 3m na ataendelea kupokea net salary ya mumewe kwa miezi 24, akajaribu kumuuwa muewe kwa sumu, mume akanusurika
Ndiyo mkuuNi kisa cha kweli?
Huu ni utunzi wa kweli au unatuuliza ?Kuna mke wa mfanyakazi wa taasisi yetu alisikia kuwa mfanyakazi akifa, siku ya mazishi mke wake atapewa na taasisi 3m, atapokea michango ya rambirambi kutoka kwa wafanyakazi na ataendelea kupokea net salary ya mumewe kwa miezi 24, akajaribu kumuuwa muewe kwa sumu, mume akanusurika
Umeona alama ya kuuliza kwenye Uzi wangu?Huu ni utunzi wa kweli au unatuuliza ?
Nimeiona kule juu mkuu labda umefuta upyaUmeona alama ya kuuliza kwenye Uzi wangu?
πππ Kwani vipi mkuu ?π³π³π³π³
CHai mujarabhu!!!..Kuna mke wa mfanyakazi wa taasisi yetu alisikia kuwa mfanyakazi akifa, siku ya mazishi mke wake atapewa na taasisi 3m, atapokea michango ya rambirambi kutoka kwa wafanyakazi na ataendelea kupokea net salary ya mumewe kwa miezi 24, akajaribu kumuuwa muewe kwa sumu, mume akanusurika
huyo mmama amenishangazaππππ Kwani vipi mkuu ?
OkCHai mujarabhu!!!..
Ni hatari sanahuyo mmama amenishangazaπ
kazi kwelikweli πππNi hatari sana
Hadi naogopa kuoakazi kwelikweli πππ
sio wote tuko hivyo bhana, ni pekeyake tuπH
Hadi naogopa kuoa
Hujaweka mchai chaiKuna mke wa mfanyakazi wa taasisi yetu alisikia kuwa mfanyakazi akifa, siku ya mazishi mke wake atapewa na taasisi 3m, atapokea michango ya rambirambi kutoka kwa wafanyakazi na ataendelea kupokea net salary ya mumewe kwa miezi 24, akajaribu kumuuwa muewe kwa sumu, mume akanusurika
Yaani nawe! We unashtuka kwani suala la vicoba ongekuwaje sasaNi kisa cha kweli?