KADA WA CCM ANENA MAZITO ASEMA TUNDU LISSU AACHIWE HURU, KESI YAKE INACHAFUA NCHI:
View: https://youtu.be/A6CM2jGSguk?si=kiwpYFlmbNlVDG1N
msikilize kwa makini bila chuki yoyote .utajifunza kumbe bado tuna wana CCM wazalendo kwa chama na kwa taifa.
wanaweza kukivusha chama hapo 2030
big up Buluba Mabelele but kama alivyowahi kusema balozi HP na yahati JP take care.