Tigo(Waungwana wanajiita Mixx siku hizi), voda na airtel wana sio chini ya huduma mbili za ukopeshaji.
Mimi wananiinua sana nisipokuwa na kibunda.
Kuhusu huyo rafiki yako achana naye, labda katoka kuchangia harusi.
Usikae na line moja kama ni mtu wa kufanya transactions kwenye simu.