kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Ni mtu mzima kabisa na pesa zake, bora hata angeniambia hata hana kuliko kunibluetiki na kuendelea kupost status🥲🥲Ukiona kimya ujue pesa hamna , sifikiri kama kuna mtu mwenye na hiyo pesa ya kukukopea anaweza kufanya hivyo.
Umezawaliwa peke yako, na Utakufa peke yako. Siku zote za maisha yako kumbuka hiloNRNE
Nimekaa najiuliza hivi binadamu wa siku hizi wamekuwaje, wakati wa raha watakuwa na wewe, lakini ukipata shida hutawaona kabisa.
Just imagine mtu unamwambia akukopeshe siyo unamuomba anaibluetiki hiyo msg na status anaweka kama kawaida.
Ngoja niishie hapa nirudi kifungoni🥲
Labda zipo kwenye mikakati mingine.Ni mtu mzima kabisa na pesa zake, bora hata angeniambia hata hana kuliko kunibluetiki na kuendelea kupost status🥲🥲
Utakuta hela alizonazo nae ameachukua mkopoNi mtu mzima kabisa na pesa zake, bora hata angeniambia hata hana kuliko kunibluetiki na kuendelea kupost status🥲🥲
Kila mtu ana mtu wake kwenye swala la pesa, na sio kila mtu anaweza mpa pesa hata kama ndani zimejaa. Kwenye maisha nilisha jifunza kuto kuomba hela wala kukopa na nimeishazoea na ilifanya niwe na bidii sanaa, baada ya kipindi flani kigumu kwangu , kila nae mgusa sound.. 🤠 nikaona hapa siri ni kusaka na kuongeza juhudiBest option ni kopa bank au saccos
safi sanaKila mtu ana mtu wake kwenye swala la pesa, na sio kila mtu anaweza mpa pesa hata kama ndani zimejaa. Kwenye maisha nilisha jifunza kuto kuomba hela wala kukupa na nimeishazoea na ilifanya niwe na bidii sanaa, baada ya kipindi flani kigumu kwangu , kila nae mgusa sound.. 🤠 nikaona hapa siri ni kusaka na kuongeza juhudi
Ni heri hata angekuwa amejibu kuwa hana nijue ameonyesha dharau, ameibluetiki na kuendelea na mambo yakeKama ambavyo Ww huna hiyo pesa, hta huyo uliyemuomba nae hana hiyo pesa.
Wabongo wengi tuna matatizo ya akili, mtu akishindwa kukusaidia unaanza kumuona ni mbaya wako.
Mtu kusema hana pesa ya kukukopesha sio kigezo cha kumfanya ashindwe kuendelea na maisha yake kisa Ww utamuona ana pesa.
Huyo sio mtu mzima mkuu..... watu wazima hatuangaiki na kupost status.Ni mtu mzima kabisa na pesa zake, bora hata angeniambia hata hana kuliko kunibluetiki na kuendelea kupost status🥲🥲
Usiwaze, kuna ile unasoma message alafu unasahahu kuijibu, lakini mwingine hapendi jieleza kwamba sina au lah, au anawaza mahala pa kukutafutia. Mie ni mmoja wapo mtu akiomba hela nitasoma message ila sikimbii kumtumia au kujibu .. reluxNi heri hata angekuwa amejibu kuwa hana nijue ameonyesha dharau, ameibluetiki na kuendelea na mambo yake
Hata mimi nimejifunza hili sutakaa nimkope tena mtu pesaKila mtu ana mtu wake kwenye swala la pesa, na sio kila mtu anaweza mpa pesa hata kama ndani zimejaa. Kwenye maisha nilisha jifunza kuto kuomba hela wala kukopa na nimeishazoea na ilifanya niwe na bidii sanaa, baada ya kipindi flani kigumu kwangu , kila nae mgusa sound.. 🤠 nikaona hapa siri ni kusaka na kuongeza juhudi
Taifa likiwa na watu kama wewe, hata utekaji utaishaHuyo sio mtu mzima mkuu..... watu wazima hatuangaiki na kupost status.
Ebu njoo PM nikupatie hiyo kiasi...😋
nenda PM kwa Ushimen akakupe na sio kukukopesha.. usichele ukakuta Jf imezimwa temaHata mimi nimejifunza hili sutakaa nimkope tena mtu pesa
Baharia acha uhuni 🤣Huyo sio mtu mzima mkuu..... watu wazima hatuangaiki na kupost status.
Ebu njoo PM nikupatie hiyo kiasi...😋
Ni mtu mzima kweli, status anazoweka siyo memes ni mistari ya biblia, unipatie unikopeshe?Huyo sio mtu mzima mkuu..... watu wazima hatuangaiki na kupost status.
Ebu njoo PM nikupatie hiyo kiasi...😋