MWANAWAVITTO JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 258 Reaction score 220 Sep 21, 2012 #1 Tazama unyama na ukatili unaofanywa na Al shabab inayosifiwa na SHEIKH ABOUD MOHAMED ROGO ALIYEUWA kwa kupigwa risasi hivi karibuni nchini Kenya Attachments ALSHAABAB.jpg 18.3 KB · Views: 362
Tazama unyama na ukatili unaofanywa na Al shabab inayosifiwa na SHEIKH ABOUD MOHAMED ROGO ALIYEUWA kwa kupigwa risasi hivi karibuni nchini Kenya
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Sep 21, 2012 #2 Hivi hawa jamaa ni kundi kubwa au?
Adrian Stepp R I P Joined Jul 1, 2011 Posts 2,764 Reaction score 2,600 Sep 21, 2012 #3 Excellent said: Hivi hawa jamaa ni kundi kubwa au? Click to expand... @Excellent Maswali gani hayoo!!
Excellent said: Hivi hawa jamaa ni kundi kubwa au? Click to expand... @Excellent Maswali gani hayoo!!
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Sep 21, 2012 #4 Tbag Hatari said: @Excellent Maswali gani hayoo!! Click to expand... @Tbag mi nataka kufaham uwingi wao
Tbag Hatari said: @Excellent Maswali gani hayoo!! Click to expand... @Tbag mi nataka kufaham uwingi wao
tatanyengo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 1,133 Reaction score 282 Sep 21, 2012 #5 Excellent said: @Tbag mi nataka kufaham uwingi wao Click to expand... Excellence wingi au uchache, ukubwa au udogo siyo hoja bali nguvu uliyonayo.
Excellent said: @Tbag mi nataka kufaham uwingi wao Click to expand... Excellence wingi au uchache, ukubwa au udogo siyo hoja bali nguvu uliyonayo.
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Sep 21, 2012 #6 Excellent said: Hivi hawa jamaa ni kundi kubwa au? Click to expand... Wako watatu tuu. uswahofie kabisa!
Excellent said: Hivi hawa jamaa ni kundi kubwa au? Click to expand... Wako watatu tuu. uswahofie kabisa!
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,044 Sep 21, 2012 #7 Hao jamaa ni hatari sana!
Meshe JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 398 Reaction score 511 Sep 21, 2012 #8 Ni kundi la wacha mungu walio vitani
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,231 Sep 21, 2012 #9 Huwa nashindwa kuelewa pale ninapokuta mtanzania anawasapoti hawa jamaa tena yuko radhi hata kupigana na wengine mitaani kuwatetea hawa kelbu...
Huwa nashindwa kuelewa pale ninapokuta mtanzania anawasapoti hawa jamaa tena yuko radhi hata kupigana na wengine mitaani kuwatetea hawa kelbu...
TEMPOLALE JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 302 Reaction score 107 Sep 21, 2012 #10 Excellent said: Hivi hawa jamaa ni kundi kubwa au? Click to expand... Siyo kubwa sana nadhani halitofautiani sana na hili kundi linalosimamiwa na Shehe Ponda Issa Ponda
Excellent said: Hivi hawa jamaa ni kundi kubwa au? Click to expand... Siyo kubwa sana nadhani halitofautiani sana na hili kundi linalosimamiwa na Shehe Ponda Issa Ponda
A abunura Member Joined Aug 12, 2011 Posts 79 Reaction score 16 Sep 21, 2012 #11 MWANAWAVITTO said: Tazama unyama na ukatili unaofanywa na Al shabab inayosifiwa na SHEIKH ABOUD MOHAMED ROGO ALIYEUWA kwa kupigwa risasi hivi karibuni nchini Kenya Click to expand... jamani twaona huu ndio unyama na wakati hao wako vitani, unyama ni ule tunaowafanyia ndugu zetu zeruzeru kule mwanza.
MWANAWAVITTO said: Tazama unyama na ukatili unaofanywa na Al shabab inayosifiwa na SHEIKH ABOUD MOHAMED ROGO ALIYEUWA kwa kupigwa risasi hivi karibuni nchini Kenya Click to expand... jamani twaona huu ndio unyama na wakati hao wako vitani, unyama ni ule tunaowafanyia ndugu zetu zeruzeru kule mwanza.
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Sep 21, 2012 #12 ni kundi dogo tu na ni wahuni hawa..na ni rahisi kuwaaangamiza kama unang'oa muhogo vile
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 603 Sep 22, 2012 #13 ingekuwa ni rahisi wasingekuwepo,na kwa taarifa ni wabaya zaidi wakiwa mafichoni wakishambulia kwa kuvizia kuliko wakiwa kwenye vita ya ana kwa ana.
ingekuwa ni rahisi wasingekuwepo,na kwa taarifa ni wabaya zaidi wakiwa mafichoni wakishambulia kwa kuvizia kuliko wakiwa kwenye vita ya ana kwa ana.
Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,158 Reaction score 9,168 Sep 22, 2012 #14 MWANAWAVITTO said: Tazama unyama na ukatili unaofanywa na Al shabab inayosifiwa na SHEIKH ABOUD MOHAMED ROGO ALIYEUWA kwa kupigwa risasi hivi karibuni nchini Kenya Click to expand... Kumbe jamaa alikuwa anawafagilia Shaabab?
MWANAWAVITTO said: Tazama unyama na ukatili unaofanywa na Al shabab inayosifiwa na SHEIKH ABOUD MOHAMED ROGO ALIYEUWA kwa kupigwa risasi hivi karibuni nchini Kenya Click to expand... Kumbe jamaa alikuwa anawafagilia Shaabab?
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,094 Sep 22, 2012 #15 Meshe said: Ni kundi la wacha mungu walio vitani Click to expand... wa mbinguni au wa kuzimu?
deni JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 255 Reaction score 191 Sep 22, 2012 #16 Meshe said: Ni kundi la wacha mungu walio vitani Click to expand... hebu acha kumsingizia mungu, hao jamaa hawana mungu kabisa kwenye matendo yao hayo ya kibaradhuli
Meshe said: Ni kundi la wacha mungu walio vitani Click to expand... hebu acha kumsingizia mungu, hao jamaa hawana mungu kabisa kwenye matendo yao hayo ya kibaradhuli
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,044 Sep 22, 2012 #17 Ndahani said: Kumbe jamaa alikuwa anawafagilia Shaabab? Click to expand... Alikuwa anawaita "ndugu zetu"yule sheikh alikuwa hatari sana
Ndahani said: Kumbe jamaa alikuwa anawafagilia Shaabab? Click to expand... Alikuwa anawaita "ndugu zetu"yule sheikh alikuwa hatari sana
Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,158 Reaction score 9,168 Sep 22, 2012 #18 BHULULU said: Alikuwa anawaita "ndugu zetu"yule sheikh alikuwa hatari sana Click to expand... Unajua ninashangaa sana na mitazamo yetu ilivyo. Yule shekhe kwani sio msomali?
BHULULU said: Alikuwa anawaita "ndugu zetu"yule sheikh alikuwa hatari sana Click to expand... Unajua ninashangaa sana na mitazamo yetu ilivyo. Yule shekhe kwani sio msomali?
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,044 Sep 22, 2012 #19 Ndahani said: Unajua ninashangaa sana na mitazamo yetu ilivyo. Yule shekhe kwani sio msomali? Click to expand... Sina uhakika na hilo, naomba Ab-Titchaz,atupe ufafanuzi kidogo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ndahani said: Unajua ninashangaa sana na mitazamo yetu ilivyo. Yule shekhe kwani sio msomali? Click to expand... Sina uhakika na hilo, naomba Ab-Titchaz,atupe ufafanuzi kidogo
Kanyapini JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 295 Reaction score 81 Sep 22, 2012 #20 Tawi lao liko Jamuhuri ya watu wa Zanzibar