Hawa ndio wenye ccm.

Hawa ndio wenye ccm.

NGOWILE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
454
Reaction score
258
Wanabodi nawasalimu.Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari msemo unaopendwa kurudiwarudiwa na baadhi ya viongozi wa nchi hii wale wanaotokana na chama tawala ambao ni huu "CCM INA WENYEWE, NA WENYEWE NDIO SISI (WAO) NA TUNA WANACHAMA KIBAO" Mwisho wa kunukuu.Ukiuangalia huu msemo kuna tofauti kubwa sana kati ya wenye CCM na wanachama.Wenye CCM yao watoto wao hawasomi shule za kata,wanatembelea magari ya kifahari,Wake zao wakiugua kidogo wanapelekwa nje ya nchi kutibiwa na wala hawavai kapelo,tshirt wala kanga zilizoandikwa maisha bora kwa kila mtanzania.Hawa ni baadhi ya wenye CCM wengine utaongezea mwenyewe kimtizamo na wanamiliki CCM kwa kurithishana kama ifuatavyo:-
Moses Nauye Vs Nape Nauye
Kigoma MALIMA Vs Adam Malima
Yusuph Makamba Vs January Makamba
Cleopa David Msuya Vs Matayo David Matayo
S.Sita vs Magret Sita
R.Kawawa Vs Vita KAWAWA
A.H.MWINYI VS Husein Mwinyi.
Kikwete vs Kasim Majaliwa.
Lowasa vs Batilda Buriani. Kikwete Vs Familia Msekwa vs Ana Abdalah Malesela vs Kilango,Wilium(baharia)Kikwete Vs H.ghasia Kwa mtazamo wangu hawa ni baadhi tu wengine Jazia mwenyewe.
 
Nchimbi Bs Nchimbi
Getrude Mongela vs Mongela
Sokine vs sokoine
lakini hata.cdm kuna hawa
Mtei vs mbowe
Ndesamburo Vs Lucy
Tindu Lissu vs dada yake
Slaaa vs mrs Slaaa
endelea
 
Wanabodi nawasalimu.Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari msemo unaopendwa kurudiwarudiwa na baadhi ya viongozi wa nchi hii wale wanaotokana na chama tawala ambao ni huu "CCM INA WENYEWE, NA WENYEWE NDIO SISI (WAO) NA TUNA WANACHAMA KIBAO" Mwisho wa kunukuu.Ukiuangalia huu msemo kuna tofauti kubwa sana kati ya wenye CCM na wanachama.Wenye CCM yao watoto wao hawasomi shule za kata,wanatembelea magari ya kifahari,Wake zao wakiugua kidogo wanapelekwa nje ya nchi kutibiwa na wala hawavai kapelo,tshirt wala kanga zilizoandikwa maisha bora kwa kila mtanzania.Hawa ni baadhi ya wenye CCM wengine utaongezea mwenyewe kimtizamo na wanamiliki CCM kwa kurithishana kama ifuatavyo:-
Moses Nauye Vs Nape Nauye
Kigoma MALIMA Vs Adam Malima
Yusuph Makamba Vs January Makamba
Cleopa David Msuya Vs Matayo David Matayo
S.Sita vs Magret Sita
R.Kawawa Vs VICK KAWAWA
A.H.MWINYI VS Husein Mwinyi.
Job Lusinde VS lusinde.
Kwa mtazamo wangu hawa ni baadhi tu wengine Jazia mwenyewe.

umekosea Mzee Balozi Lusinde na huyu Lusinde Mitusi hawana undugu wowote ule na Balozi yeye watoto wake wanfanay kazi hawajui what is politics huyu mzee hana uroho ni mwadilifu ni rafiki yake sana Nyerere na mara kwa mara anawachana live ccm kwamba wamepoteza dira. Ila list nyingiine kweli ccm ina wenyewe babuuu
 
Hapo kwenye nyekundu, hakuna mtu kama huyo....
 
Ni Vick au Vita Kawawa?

Wengine ni:
Kikwete vs usultani (Salma, Ridhiwani, Hawa Ghasia nk)
Malecela vs Kilango, William, na yule dada yao
Karume vs Karumes
Msekwa vs Ana Abdala,
 
kuna mtoto wa pinda aligombea uvccm, mtoto wa bilal na baba yake
 
Acha uwongo Mkuu. Hao ni ndugu.
Kumbuka Livingstone na Samwel Malecela ni mtu na babake mdogo.
Samwel Malecela na Job Lusinde ni ndugu (usiniulize kwanini majina hayafananii)
umekosea Mzee Balozi Lusinde na huyu Lusinde Mitusi hawana undugu wowote ule na Balozi yeye watoto wake wanfanay kazi hawajui what is politics huyu mzee hana uroho ni mwadilifu ni rafiki yake sana Nyerere na mara kwa mara anawachana live ccm kwamba wamepoteza dira. Ila list nyingiine kweli ccm ina wenyewe babuuu
 
Mkuu umenistua!
Hebu nipe uhusiano wa Hawa Ghasia na Kikwete
Ni Vick au Vita Kawawa?

Wengine ni:
Kikwete vs usultani (Salma, Ridhiwani, Hawa Ghasia nk)
Malecela vs Kilango, William, na yule dada yao
Karume vs Karumes
Msekwa vs Ana Abdala,
 
Acha uwongo Mkuu. Hao ni ndugu.
Kumbuka Livingstone na Samwel Malecela ni mtu na babake mdogo.
Samwel Malecela na Job Lusinde ni ndugu (usiniulize kwanini majina hayafananii)

Mimi ni mwana familia, L. Lusinde sio mwanafamilia kabisa ila majina yamefanana na job lusinde
 
jk vs Ridhiwani
Mhagama vs Jenista Muhagama Mkapa vs mama Ana
 
umekosea Mzee Balozi Lusinde na huyu Lusinde Mitusi hawana undugu wowote ule na Balozi yeye watoto wake wanfanay kazi hawajui what is politics huyu mzee hana uroho ni mwadilifu ni rafiki yake sana Nyerere na mara kwa mara anawachana live ccm kwamba wamepoteza dira. Ila list nyingiine kweli ccm ina wenyewe babuuu

Hivi na yule somebody mmiliki wa theutamu aliitwa nani?
Na je ishu yake iliishia wapi?
Manake mara ya mwisho nilisikia kakamatwa na jina lake laendana na Lusinde.

Mwenye taarifa kamilifu hebu autue huo mzigo
 
Acha uwongo Mkuu. Hao ni ndugu.
Kumbuka Livingstone na Samwel Malecela ni mtu na babake mdogo.
Samwel Malecela na Job Lusinde ni ndugu (usiniulize kwanini majina hayafananii)

- Hawana anything to do with each other, muwe mnatafiti basi japo kidogo!

william.
 
Alitaka kumaanisha Vita Kawawa

Mtu kama huyo ukisikia amefeli darasa la 7 basi ukweli ni kuwa amefeli kihalali kabisa.
Jina la shule ye anaandika jina lake.
Jina la kwake anakurupuka kuandika jina la shule...
kama yeye ni Male basi kwa kupenda kuongeza anaongeza ''FE'' then anapata FEMALE
 
Back
Top Bottom