Umewabania wengine wengi mbona?
Mbona wanasema JF nzima mwanamke ni Evelyn Salt tu?
Hapa ni ledada tu wengine mtanisamehe ni attention seeker
Sure 😍
Nastaafu jf.....
Nitabaki mshauri tu kama jk
Tafuta mfano mwingine...😂😂Nastaafu jf.....
Nitabaki mshauri tu kama jk
Eeeeh bhana eeeh balance shobo kijana,sipendagi attention.Msisitizo uwep hapo kwenys watoto waliotulia.
Ingekuwa ya mashangazi Waliotulia hakika mnngekuwepo na nyinyi.
Oktoba tunatikiOfisi za JF zimevamiwa wewe unawaza ngono zembe.