Hii ni moja ya post za Mwita25 kwenye jukwaa la siasa,amabaye ni degree holder ya fishing toka UDSM......
"Mkinga is attempting to pave her way towards 2015 elections. His vitriol and caustic remarks against CCM are largely fictitious and utterly spurious. His trend has normally been followed by a lot of knavish protagonists who manipulate their platforms just to find their way into politics. So I don't see any genuine willingness inside this loquacious crusader but only a desire to leadership.
Angalia kwenye hayo maneno yaliyowekewa rangi nyekundu,jamaa anazungumzia mwanamke au mwanaume....
Heee, hivi Mwita kasomea uvuvi? My cousin who never went beyond 4th grade was one great fisherman. He could have taught Mwita 25 a thing or 2 his English gibberish notwithstanding
Hivi Kujua Kiingereza ndio Usomi au uwezo wa kufikiri? Acheni Upumbavu. Huu ndio ujinga wa Watanzania walo wengi. Utasemaje kuhusu wachina, warusi, wajapani, na wengineo wasiotumia kiingezera. Basi kwa mantiki hiyo ukizaliwa uingereza au marekani, Australia huna haja ya kwenda shule manake si unweza kuongea kiingereza hata kama hujui kuandika lugha yenyewe.
Aagh! Mijitu inaandika kiswahili kibovu humu kama mizungu lakini haianzishwi thread kukosoa lakini hiyo typing error kidogo kwenye lugha ya kigeni ndio tuamini kwamba jamaa degree yake fake... hapana hizo ni fikra tegemezi...
Mkuu huyu jamaa aliwai jitapa hapa JF kuwa ana GPA ya 4 kwenye cheti chake cha bachelor na anajua kiingereza kuliko ma-pro wa CHADEMA,sasa Mungu amfichi mnafiki,ona sasa....
Hii ni moja ya post za Mwita25 kwenye jukwaa la siasa,amabaye ni degree holder ya fishing toka UDSM......
"Mkinga is attempting to pave her way towards 2015 elections. His vitriol and caustic remarks against CCM are largely fictitious and utterly spurious. His trend has normally been followed by a lot of knavish protagonists who manipulate their platforms just to find their way into politics. So I don't see any genuine willingness inside this loquacious crusader but only a desire to leadership.
Angalia kwenye hayo maneno yaliyowekewa rangi nyekundu,jamaa anazungumzia mwanamke au mwanaume....
Umeulizwa? Halafu wewe jamaa ni mshamba sana! Kuna siku ulikuwa unajitapa eti una Harrier lako unataka kwenda nalo Arusha from Dom! Kuendesha Harrier ni ujanja?Kwa taarifa yako mimi namiliki Diploma in Clinical Medicine niliyoipata Mafinga COTC 2000-2002. Kazini natambulika kama Clinical Officer aka Afisa Tabibu. Hiyo degree yako ya Fishing gawaneni na Nape! Mimi siitambui
Hivi Kujua Kiingereza ndio Usomi au uwezo wa kufikiri? Acheni Upumbavu. Huu ndio ujinga wa Watanzania walo wengi. Utasemaje kuhusu wachina, warusi, wajapani, na wengineo wasiotumia kiingezera. Basi kwa mantiki hiyo ukizaliwa uingereza au marekani, Australia huna haja ya kwenda shule manake si unweza kuongea kiingereza hata kama hujui kuandika lugha yenyewe.
Umeulizwa? Halafu wewe jamaa ni mshamba sana! Kuna siku ulikuwa unajitapa eti una Harrier lako unataka kwenda nalo Arusha from Dom! Kuendesha Harrier ni ujanja?
Arusha yenyewe ulikuwa hata huijui..afadhali uliadmit mwenyewe!
Jamani lets be honest, hata wasomi kiasi gani huwa wanakosea kwenye uandishi wao wa awali na nido maana kunakuwa na proof-reading na wakati mwingine hata kupatia watu wengine kupitia na kuona makosa kama haya........unaweza kuona makosa madogo kwa nini hajayaona lakini ukweli makosa madogo huwa ndiyo hayaonekani zaidi
All in all, nakakubali kanglishi ka mkuu Mwita25 maana duuuuhh!! inabidi nikatafute kadikshenari kangu kuongeza msamiati mpya.....mwe ananikumbushaga sana enzi zile za Sekretari Maimuna na ".....anaongea kiingereza kigumu".....