Hawa ndio wasaidizi wa Rais

Statesmann

Statesmann

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2019
Messages
1,067
Points
2,000
Statesmann

Statesmann

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2019
1,067 2,000
BASHITE ni mzee wa unfinished businesses
1. La Machoko halikuisha

2. La kupima Tezi dume nyumba kwa nyumba halikuisha

3. La Ombaomba jijin halikuisha

4. La Wajane na waliotelekezwa halikuisha

5. La Vijana wasio na ajira halikuisha

6. La Makahaba halikuisha

7. Usafi kila mwisho wa mwezi halikuisha jiji bado chafu

8. La kuoga wanaoenda mjini halijaisha

9. La tinted halikuishaa

10. La madawa ya kulevya halikuisha

11. La walimu kupanda bure daladala halikuisha

12. La kugawa viwanja kwa walimu halikuisha

13. La furniture za ofis za walimu halikuisha

14. La uenyekiti kamati ya harusi ya Majizo na Lemutuz halijaisha

15. La kuonyesha vyeti vya form four halikuisha(aliishia kulia kanisani)

16.
 
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
21,505
Points
2,000
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
21,505 2,000
HAWA NDIO WASAIDIZI WA RAIS

Na Thadei Ole Mushi.

Picha ya Kwanza ni mkuu wa Mkoa wa Daresalam Mh Paul Makonda akili yake na Nguvu zake zote kwa sasa ameziwekeza kwenye kuhakikisha wanaume wa Dar wanasajili ndoa zao. Kwake hili ni kipaumbele kuliko.

1. Kuumiza kichwa ni namna gani atalifanya Jiji la Daresalam Liongoze kwa Usafi Hata East Africa tu.

2. Kupunguza mlundikano wa machinga pembezoni mwa barabara za maeneo kama Mbagala, Tegeta, Gongolamboto nakwingineko. Hivi siku magari yetu yakifeli breki itakuwaje?, lakini kama haitoshi, utakuta vyungu vya chips vinachemka katikati ya dimbwi la watu katika maeneo haya......

3. Kuliko kutengeneza Fursa za vijana kujiajiri, jiji la Daresalam ni jiji la kimkakati ambalo lina kila kitu katika kuongeza ajira kilichokosekana ni mipango tu.

4. Kuliko kupandisha Ufaulu wa Shule za Mkoa huu na kushika hata nafasi ya kwanza ni nini hakipo Dar cha kuwezesha taaluma kupanda?

5. Kuliko kuendelea kubuni mbinu na mikakati ya kupunguza Msongamano wa magari jiji la Dar.

6. Ni makampuni mangapi ya njee aliyowahi kufanya nayo mazungumzo kuja kuangalia Fursa Dar na kuwekeza?

Matatizo ya Dar ni Mengi mno ila Mkuu wa Mkoa kaona hili la Vyeti vya Ndoa ndio la msingi kuliko vyote. Hizi ndizo akili zinazomzunguka Rais wetu John Pombe Magufuli.

Unamwona huyo aliyebeba gunia la Kahawa hapo? Huyo ni Waziri wa Viwanda na Biashara. Hii ndio kazi yake ya kwanza anayoitambulisha kwa jamii toka ateuliwe. Anaitwa Innocent Bushungwa.

Nimejiuliza huyu waziri hii ndio kazi aliyotakiwa kuifanya ya kwenda kuwa kibega wa Magunia ya kahawa? Kwa nini hawajifunzi toka kwa watangulizi wao waliotumbuliwa?

Ni mabadiliko gani ameyafanya toka aingie hapo wizarani? Ameshakutana kwa vikao Mara ngapi na wizara ya Kilimo kwa ajili ya kutatua tatizo la Pamba ambayo Ipo kwenye Maghala hadi sasa? Ameshawaza nini kuhusu Korosho itakayovunwa Mwakani? Ameshafanya presentation ya Miradi mingapi kuhusu kujenga viwanda vipya vitakavyomgusa mkulima moja kwa moja? Kwa style hii ya kubeba Magunia Kweli Tutaweza kuwapita Kenya kwa viwanda na biashara? Hii itakuwa ni ndoto ya mchana.

Hawa ndio wasaidizi wa Rais...

Picha ya Tatu ni Juma Aweso akiwa anachochea baiskeli yenye madumu ya maji. Picha hii sitaizungumzia kwa Leo kwa maana kwa kuendesha tu baiskeli maji yanatiririka kila mahali nchini.....

Badala ya kuwaza kuendesha baiskeli yenye madumu KM kibao kufuata maji angeliwaza maji kuwafuata watu majumbani kwao. Anachekelea kuendesha Baiskeli kutafuta maji kwake hii Si Kero na ni kitu cha kuenzi...... Tafiti ya mwisho ya Twaweza kuhusu upatikanaji wa maji umebainisha kuwa asilimia 57 ya wa Tanzania hufuata maji njee ya KM 3 toka anapoishi hadi kwenye Maji. Na Tanzania ndio inayoongoza kwa kuwa na vyanzo Vingi vya maji East Africa......

Hawa wote ni vijana, si Hawa tu wapo wengi wa style hii plus hao wanaotaka kudunga watu sindano za Ukichaa. Najiuliza hivi kwa nini hatuwazi vitu vikubwa? Unajaribu mambo makubwa ukishindwa unasaidiwa? Hakuna ubunifu wowote unaonyeshwa na Hawa vijana.

Wakati watu wakiendelea Kumshangaa Makonda hebu chunguzeni na hao wengine nini wanakifanya? Wana mipango, wana mikakati, wanajua shida za Wanaowaongoza?

Naamini Bado kuna akili nyingi za Rais zipo mtaani zinapaswa kusogezwa kwenye timu yake....
Ole Mushi
0712702602
View attachment 1180431View attachment 1180433View attachment 1180434
Hivi Dar kila Jumamosi biashara zote zinafungwa had I saa 4 asubuhi. Usafi ni tabia siyo kuwa

Kufunga biashara mpaka baada ya saa 4 siku ya J'mosi Dar ni kero tosha na kuikosesha serikali mapato.
 
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
10,607
Points
2,000
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
10,607 2,000
Tutolee uzwazwa wako hapa. Kuna mtu gani mwenye akili ya kufanya mipango madhubuti na akaona kubeba gunia ndio kuonyesha umahiri wa kazi za uwaziri?
Ungewajua wanasiasa wa dunia nzima walivyo usingeandika mapovu uliyoyaandika.

Kumbuka hapo ni jimboni kwake, hao waliopembeni wanaomuangalia ni wapiga kura wake.

Yule mbunge marehemu wa Njombe aliyekuwa rafiki wa Zitto Kabwe jimboni mwake alikuwa akishiriki kwa vitendo ujenzi wa zahanati na shule za sekondari.

Huyu mleta mada kajawa na upingaji wa kila kitu akashindwa kuutazama ujumbe mwingine wa hiyo picha ya huyo mbunge wa karagwe akiwa na wananchi wake.
 
Allency

Allency

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Messages
3,645
Points
2,000
Allency

Allency

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2011
3,645 2,000
Mkuu, unatafuta picha za hao waheshimiwa halafu unaandika uzi!. Kazi nyepesi sana hiyo.

Unajuaje kama hayo unayotaka wayafikirie kama kwa sasa hayapo katika mikakati yao ya kikazi?.

Au labda ulitaka kila wakifanya jambo fulani wakutafute na kukueleza?. Kuandika uzi humu jukwaani ni kazi nyepesi, kuvaa viatu vya hao viongozi sio kazi nyepesi.
Nina uhakika hata kama ukipewa wewe hilo jukumu la uwaziri utakuwa kama hao kwenye picha. I hope hii ni sifa kwako mkuu na unatamani uyafanye hayo wanayofanya hao.
 
Allency

Allency

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Messages
3,645
Points
2,000
Allency

Allency

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2011
3,645 2,000
1. La Machoko halikuisha

2. La kupima Tezi dume nyumba kwa nyumba halikuisha

3. La Ombaomba jijin halikuisha

4. La Wajane na waliotelekezwa halikuisha

5. La Vijana wasio na ajira halikuisha

6. La Makahaba halikuisha

7. Usafi kila mwisho wa mwezi halikuisha jiji bado chafu

8. La kuoga wanaoenda mjini halijaisha

9. La tinted halikuishaa

10. La madawa ya kulevya halikuisha

11. La walimu kupanda bure daladala halikuisha

12. La kugawa viwanja kwa walimu halikuisha

13. La furniture za ofis za walimu halikuisha

14. La uenyekiti kamati ya harusi ya Majizo na Lemutuz halijaisha

15. La kuonyesha vyeti vya form four halikuisha(aliishia kulia kanisani)

16.
Yard za magari kuhamia kigamboni -(limeisha).
 
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
10,607
Points
2,000
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
10,607 2,000
Nina uhakika hata kama ukipewa wewe hilo jukumu la uwaziri utakuwa kama hao kwenye picha. I hope hii ni sifa kwako mkuu na unatamani uyafanye hayo wanayofanya hao.
Kuanzisha uzi wa ukosoaji ni tofauti na utendaji wa mtu huyo huyo anapopewa cheo.
 
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Messages
3,926
Points
2,000
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2018
3,926 2,000
Ungewajua wanasiasa wa dunia nzima walivyo usingeandika mapovu uliyoyaandika.

Kumbuka hapo ni jimboni kwake, hao waliopembeni wanaomuangalia ni wapiga kura wake.

Yule mbunge marehemu wa Njombe aliyekuwa rafiki wa Zitto Kabwe jimboni mwake alikuwa akishiriki kwa vitendo ujenzi wa zahanati na shule za sekondari.

Huyu mleta mada kajawa na upingaji wa kila kitu akashindwa kuutazama ujumbe mwingine wa hiyo picha ya huyo mbunge wa karagwe akiwa na wananchi wake.
You have a point japo ina-apply mostly kwenye nchi anazoziita Trump "shitholes countries". Ndio maana kuna mtu hupiga push-ups jukwaani. It doesn't mean they are doing what is materially required of them though.
 
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Messages
3,926
Points
2,000
M

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2018
3,926 2,000
1. La Machoko halikuisha

2. La kupima Tezi dume nyumba kwa nyumba halikuisha

3. La Ombaomba jijin halikuisha

4. La Wajane na waliotelekezwa halikuisha

5. La Vijana wasio na ajira halikuisha

6. La Makahaba halikuisha

7. Usafi kila mwisho wa mwezi halikuisha jiji bado chafu

8. La kuoga wanaoenda mjini halijaisha

9. La tinted halikuishaa

10. La madawa ya kulevya halikuisha

11. La walimu kupanda bure daladala halikuisha

12. La kugawa viwanja kwa walimu halikuisha

13. La furniture za ofis za walimu halikuisha

14. La uenyekiti kamati ya harusi ya Majizo na Lemutuz halijaisha

15. La kuonyesha vyeti vya form four halikuisha(aliishia kulia kanisani)

16.
Yote hayo yali-fail kabla hata hayajaanza.
 
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
10,607
Points
2,000
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
10,607 2,000
You have a point japo ina-apply mostly kwenye nchi anazoziita Trump "shitholes countries". Ndio maana kuna mtu hupiga push-ups jukwaani. It doesn't mean they are doing what is materially required of them though.
It is not a complicated task presiding over african countries. Just show people that you are their most important part, whatever they wish to accure you have the energy to work on it.
 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
18,279
Points
2,000
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
18,279 2,000
Mkuu, unatafuta picha za hao waheshimiwa halafu unaandika uzi!. Kazi nyepesi sana hiyo.

Unajuaje kama hayo unayotaka wayafikirie kama kwa sasa hayapo katika mikakati yao ya kikazi?.

Au labda ulitaka kila wakifanya jambo fulani wakutafute na kukueleza?. Kuandika uzi humu jukwaani ni kazi nyepesi, kuvaa viatu vya hao viongozi sio kazi nyepesi.
Kwani haya mauupuzi wanayofanya si wanatupa taarifa kabla. Na kama walikuwa mipango watupe taarifa ila sio hizi drama za kibashite.
 
Kitaturu

Kitaturu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
5,045
Points
2,000
Kitaturu

Kitaturu

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2013
5,045 2,000
Mkuu, unatafuta picha za hao waheshimiwa halafu unaandika uzi!. Kazi nyepesi sana hiyo.

Unajuaje kama hayo unayotaka wayafikirie kama kwa sasa hayapo katika mikakati yao ya kikazi?.

Au labda ulitaka kila wakifanya jambo fulani wakutafute na kukueleza?. Kuandika uzi humu jukwaani ni kazi nyepesi, kuvaa viatu vya hao viongozi sio kazi nyepesi.
Nadhani umesahau usemi mmoja muhimu sana, kuwa....;

".......yaonekanayo kwa macho na kusikika kwa masikio na kushikika kwa mikono, ndiyo yanayodhihiri yaliyojificha kwenye vungu za mioyo ya mtu/muhusika/wahusika.....ukipenda sema.... kwenye paper plans zao.......!!"

Ndo kusema, huwa hatutolei maoni yaliyojificha kwenye vungu za mioyo ya watu bali yale yaliyowazi na yanayoyatendeka na kuonekana pamoja na kusikika na yale yanayoshikika!!

Kweli unataka asubiri ambayo hayaonekani, kusikika ama kushikika ndiyo aseme/aandike?..

You are not serious wewe, umekosa hoja kabisa ukaamua utetee kivyovyote tu,......right?

Well; suppose, wawe hawana/hayapo maana wewe umeandika kana kwamba yapo ila hawayatoi tu na badala yake wanayatoa yaliyo ya hovyo na dhaifu hata kusababisha watu wahoji ubunifu na umakini wao hawa viongozi.....!!

Sasa na wewe, ukiulizwa....kama hayapo je......utajibuje?
 
vipik2

vipik2

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Messages
1,638
Points
2,000
vipik2

vipik2

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2011
1,638 2,000
Duh, kweli tuna kazi sana vijana. Sana huyo Aweso yeye kazi kugombana na wakandarasi wa maji. Wakati matatizo ya kuchelewesha miradi ni ya wizara yenyewe. Ole Mushi nimekuelewa kongore!
Palikuwa na jamaa kazini kwetu ambaye kikazi alikuwa amepangwa sehemu ya majimaji na topetope hivi, sasa yeye akitaka kwenda kumtoa pesa ya chapuchapu tajiri yetu basi anachofanya ni kupaka matope nguo zake na kujimwagia maji nguo zake halafu anachomoka moja kwa moja mpaka ofisini kwa bosi na bila kupepesa yeye hapo anatoa shida yake na haulizwi swali zaidi ya kupewa kiasi alichoomba, huyu mwingine mwenye project zisizoisha na kuwa na mwisho chanya nafikiri yeye ana maono na vision ya mbali kuliko sisi tunavyoona, hebu tujaribu kufikiria kidogo kabla ya kubeza je hapa Dar wapiga kura wengi ni jinsia gani?....kazi kwenu huko Kawe!
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
32,912
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
32,912 2,000
Kuna mambo yanasikitisha sana...

Cc: mahondaw
 
Forum statistics

Threads 1,336,174
Members 512,562
Posts 32,529,499
Top