Hawa ndio wasaidizi wa Rais

Hawa ndio wasaidizi wa Rais

Hayo mambo ya buku tatu na buku saba huoni kama ni utoto fulani?. Nategemea wewe mpaka umejiunga humu tayari umeshafikia umri wa kupiga kura. Stop being silly.


Nini kupiga kura na kuongeza dunia achana na kupiga kura za wizi zisizo na uhalisia kabisa na kuiongeza dunia pia nimefikia... Wewe ndio hutaki kuelewa
 
Nini kupiga kura na kuongeza dunia achana na kupiga kura za wizi zisizo na uhalisia kabisa na kuiongeza dunia pia nimefikia... Wewe ndio hutaki kuelewa
Huwezi kumpangia mwanasiasa sehemu gani na wakati gani apige picha.

Kama wewe ulivyo na uhuru nae anao.
 
Siyo huko tuu mkuu, almost Dar yote ...
Nenda pale ferry kigamboni yaan kumejaa watu wanapanga vitu chini, nenda Gongo la mboto, nenda mbagala
Kimsingi RC wetu kuna changamoto nyingi anapaswa kudeal nazo

Gongo la Mboto kuna msongamano sana nyakati za jioni, juzi juzi Kuna binti aligongwa maeneo yale hadi traffic aliyefika alikua anatetemeka
 
Huyo wa maji amwnisikitisha kuliko wote
Hapo uliposema badala ya kuwaza maji kuwafuata manyumbani kwao yeye anayafuata
Kweli kuna technology nyingi za kupata maji kwa urahisi na hiyo wanayotumia Israel ndio imeuzika zaidi duniani mpaka wakulima wa India wameikubali na kuitumia na mafanikio yao ni faida x5
Ubalozi mmefungua lakini watu hawajui umuhimu wa Balozi kuwepo katika nchi husika na fursa wanazoziachia
Mungu saidia na utupe hekma
 
Na Tanzania ndio inayoongoza kwa kuwa na vyanzo Vingi vya maji East Africa......
Hii umeitoa wapi mkuu. Na Uganda je, yenye maji karibu kila sehemu isipokuwa Karamajong pekee?

Hayo mengine ninakubaliana nawe.
 
Gari la mkaa linaendeshwa na driver kichaa ambaye alikuwa chizi alafu akalogwa tena unafikiri itakuwaje??
 
1. La Machoko halikuisha

2. La kupima Tezi dume nyumba kwa nyumba halikuisha

3. La Ombaomba jijin halikuisha

4. La Wajane na waliotelekezwa halikuisha

5. La Vijana wasio na ajira halikuisha

6. La Makahaba halikuisha

7. Usafi kila mwisho wa mwezi halikuisha jiji bado chafu

8. La kuoga wanaoenda mjini halijaisha

9. La tinted halikuishaa

10. La madawa ya kulevya halikuisha

11. La walimu kupanda bure daladala halikuisha

12. La kugawa viwanja kwa walimu halikuisha

13. La furniture za ofis za walimu halikuisha

14. La uenyekiti kamati ya harusi ya Majizo na Lemutuz halijaisha

15. La kuonyesha vyeti vya form four halikuisha(aliishia kulia kanisani)

16.
La kumbebisha jiwe a.k.a MEKO pia halikuisha
 
Leo tunataka kuandika historian China wake wajivunze mapainduzi ya uchumi
 
La kumbebisha jiwe a.k.a MEKO pia halikuisha
Ametelekeza daaah!
IMG_20190917_093616.jpeg
 
Kuna kila sababu ya kubadili au kubalance aina ya vyakula tunavyowalisha watoto wetu. Inawezekana watanzania wengi wana udhaifu wa kufikiri kwa ufasaha. Sijui vichwa vinatuumaga tukifukiri kwa ufasaha na kupata jibu la matatizo yanayotuzunguka? Yaani hata mimi ndugu zangu wananipa shida sana kila nikiwashauri cha kufanya waweze kutoka kimaisha, hawanielewi. Hili taifa linatakiwa kubadilishwa kuanzia familia, mitaala ya shule zetu za msingi, semina za maana zifanyike kwa walimu wetu kuanzia std 1 hadi K4. Ujinga haujatutoka pakubwa.
 
Mkuu huyu makonda hajui kitu, kuna malaya wanasomesha watoto mpaka wanakuwa watu wakubwa

Umalaya ni biashara kongwe toka enzi za NUHU ambayo sio kila mwanamke anaiweza!!! Afadhali Magu amemshitukia Makonda na ubishoo wake ambao hauna tija kwa wananchi isipokuwa kujitakia sifa!!!
 
Back
Top Bottom