hawa ndio wanaume wanaoongoza kuvunja ndoa za watu

hawa ndio wanaume wanaoongoza kuvunja ndoa za watu

Na sisi WASAFISHA NA WAPAKA RANGI KUCHA,mbona unatu'ignore?
Sisi ndo noma zaidi kuliko hao wote uliowa'list hapo

Tena haya Ma- Mr. kucha ndo mambwa koko kabisa!

Kwa wote mi simo, na m2 akinambia kuwa ni mke wa m2 huwa nakata kabisa mawasiliano, otherwise mahusiano yawe ya nia njema isiyoingilia mambo ya utamu
 
Ongeza na hawa:
Wanamuziki
Wacheza mpira -footballers
Wabunge , hasa wa CCM

Haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Si wabunge tu, wanachama wa CCM wote ni walewale tu!
 
Back
Top Bottom