Hawa ndio walindakura wa CHADEMA

Hawa ndio walindakura wa CHADEMA

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,802

Majanga!
 
Last edited by a moderator:
Naona moderator hii siasa kuelekea uchaguzi umeileta kwenye mapicha!
 
Serikali ya ccm imemshikilia shehe ponda kuwa kile kinachosemwa kuwa ccm wamewaujumu waislam kiwanja cha kujenga shule ya waislam. Jeje wewe kama muislam unautetezi gani na hii serikali ya ccm inayoeaumiza waislamu?

Swissme
 
#HapaKaziTu

Umewaona walinda kura wa chadomo?
 
#HapaKaziTu

Umewaona walinda kura wa chadomo?
Ndio.back to point je unaushari gani kuhusiana na ccm kuwadhurumu kiwanja cha shule it wose DREAMS AND FUTURE kwa kizazi cha waislamu jana cuf waliongelea hilo je wewe kama muislamu unautetezi gani juu ya hili?ccm kutowapa haki waislamu?msukule hata ukiuambia kaa chini unakaa funguka.

swissme
 
Kafundishwa kutusi sio kujibu hoja.. Weka tusi uone Jibu lake...
 
Ndio.back to point je unaushari gani kuhusiana na ccm kuwadhurumu kiwanja cha shule it wose DREAMS AND FUTURE kwa kizazi cha waislamu jana cuf waliongelea hilo je wewe kama muislamu unautetezi gani juu ya hili?ccm kutowapa haki waislamu?msukule hata ukiuambia kaa chini unakaa funguka.

swissme

= kuwadhulumu

Mbowe kisha dhulumu mabilioni ya mchango, umeona nyuzi umewekewa na ushahidi kamili.

Umeona walinda kura wa chadomo?
 
Serikali ya ccm imemshikilia shehe ponda kuwa kile kinachosemwa kuwa ccm wamewaujumu waislam kiwanja cha kujenga shule ya waislam. Jeje wewe kama muislam unautetezi gani na hii serikali ya ccm inayoeaumiza waislamu?

Swissme

Wose???Rudi Darasani

Kwani Faiza Foxy Ni Mahakama?Au Jaji?
 
Jibu Hoja Hapo Mkuu, Mbona Chenga Kibao!! Hayo Ya Mbowe Hatuna Evidence, COZ Hata Hizo Benki Zilizofanya Hiyo Miamala MNAOGOPA Kuzitaja!! Suala La Kiwanja Cha Waislam Kiko Wazi! Eleza Kwa MTAZAMO Wako, Je Likoje!!!!??? Acha UNAFIKI Mkuu!
 
Kesi ipo Mahakani akujibu nini?
 
Sauti zimewakauka.

Wanawapa viroba wawe stata kwanza ili wakapige makelele vizuri :disapointed:
 
= kuwadhulumu

Mbowe kisha dhulumu mabilioni ya mchango, umeona nyuzi umewekewa na ushahidi kamili.

Umeona walinda kura wa chadomo?
Ponda karudishwa GEREZANI na ccm wamepola mali za waislamu je wewe uko na ushauri ngani au wewe na BAKWATA na CCM ndio mnawahangamiza waislamu na future zao je kiwanja sio cha waislamu au ni mali ya ccm wewe funguka unawaujumu waislamu kwa mgongo wa ccm

Swissme
 
Back
Top Bottom