Hawa ndio walimu, madaktari na wanajeshi watakaoajiriwa

Sio kweli mkuu, ujue izo idara ulizozitaja zinahitaji watu wengi sana lakini pia kila mwaka watu wanastaafu. Je, hao viongozi ambao umewataja wanawatoto wangapi wa kuziba pengo hili

Kikubwa ni kwamba kutokana na sera ya elimu bure serikali huwa inatumia fedha nyingi sana kama ruzuku mashuleni. Kwa hyo inashidwa kuajili watumishi wengi kuhofia cha kuwalipa. Huko mwazo mambo ya elimu bure hayakuwepo na ndiyo maana ajira zilikuwa za kumwanga.

Cha msingi serikali iangalie hili swala la elimu bure maana linawashinda
 
400 au 4000?
 
Mimi nimefanikiwa kusoma hadi chuo na sijawahi ajaliwa popote ila miaka ya nyuma mshawishi kutuma maombi kwenye makampuni kibao na serikalini kuomba ajira bila mafanikio sasa Malima kilimo cha bustani na mafuga sanaa, ila ndugu zangu wenye ajira serikalini kila mwisho wa mwezi hujaa nyumbani kunikopa wakiwa wameshiwa kabisa
 
Kweli kabisa unachosema ..kujitegemea muhimu ..ukisoma kitabu cha rich dad poor dad kinaongelea mtoto kujengewa akili ya kujitegemea na ku make money mapema
In this day and age the only sure way of making money is to write a book about making money...
 
Ajira hasa za #Ualimu_masomo_ya_Sanaa ni mwiba mkali kwa serikali.Leo tunabaguana kwa michepuo kabisa eti sayansi ni ngumu?!! kabisa! kweli?
Dawa tayari imeiva.Kila wahitimu wa fani zote zenye makandokando tangu zama hizi zianze anafahamu nini cha kufanya.
Miaka tuliyokaa ni Masters&PhD tosha na kile kilichofundishwa chuoni kwa mara ya kwanza kitaonekana.
Vijana Amka,acha Ukasuku.
 
Vijana wasomi wamekata tamaa hii inasikitisha. Nadhani kuna mtu akidonsoka ghafla hata leo watu hawatamlilia bali watafanya tafrija fupi kumshukuru Mungu huku bendera inapepea nusu mlingoti.
 

Hahaha aisee
 
Umepata ajira ktk kampuni ambayo mzee wsko alikuwa ansjuliksna. Hiyo yamaanisha bila kujuana pengine bado ungekuwa kitaa kama mm. Ila hongera sana. Hapo ndo tulipo fikia na tunakoelekea ni pabaya zaid hasa public sectors
Kweli, pengine ningekuwa kitaa au nafanya kazi za kubahatisha
 
nimesomea ualimu na nafanya kazi ya ualimu lakini sijaona mtoto wa tajiri au kigogo ni mwalimu. mimi sijaona jamani. na walimu wengi ni masikini sana kwa sababu ya historia za kimasikini.


ova
Kama ulichukua HGK unategemea ungekuwa Dr?
 
in this day and age publishing can be free..just marketing ndio inahitaji nguvu.., by the way my point is even the telling to people (of how to make money) is a business of making money..,
ndio coz kwa asilimia kubwa watu wako desperate na uchumi na ukitoa kitabu watahisi unasema kweli hata kama idea zako hazina uhalisia
 
Elimu yake pia inaruhusu
 

Fikra mgando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…