Hawa ndio tunaowatetea kuhusu mimba

Hawa ndio tunaowatetea kuhusu mimba

Shetani mwenyewe tena u-mpenzi wa pepo wa ngono wewe!
Hayo mambo ya kijinga peleka kwenye familia yenu kwani umezuiliwa kujenga shule ya wazazi?
Unataka tuhalalishe ili vijitoto vyako vyenye mimba virudi shule?
Au
Yaaani mijitu yenye mawazo ya kuangamiza taifa utaiona tu!
JENGENI SHULE ZENU ZA HAO WAZAZI over!
Sawa mkuu, ni maoni yako hayo.....asemacho mfalme ndicho sahihi, nawe yafaa kumtii
 
Tatizo hapa ni ushamba tu, any teenage gir or boy can do any stupid thing, ndio maana wanaitwa watoto. Mizazi mingi ya kiafrica ni mishamba sana, unadhani mtoto akikuogopa ndo heshima, matokeo yake akifanya kwa siri ndo matatizo yanaanza!! Hakuna shule inayoruhusu hayo iwe ulaya au africa, hayo watoto wanaweza kifanya kwenye graduation, enzi zetu za utoto, ilikuwa ukichokozwa unasubiria kulipa kisasi siku ya kufanga shule, huo ni utoto tu, kwanini waadhibiwe kwa kosa linalotokana na nature? Yaani kama unasupport watoto kutorudishwa shule baada ya kupata mimba, wewe ni shetani tu aliyevaa mwili, roho mbaya ya kichawi, wangapi kati yenu mlikuwa wavita bangi, wezi, walevi na uhuni wa kila aina na shule hamkufukuzwa?? Mtoto atapataje mimba kama sio watoto wa kiume kuwasababishia? Anyway sina hakika kama mnaosupport mna watoto, nnachokiona mnataka wakipata mimba wakazitoe, wafe mfurahie tu, hao ni watoto wanajua madhara gani kama they still feeding through their homes? Acheni roho ya kichawi, lazima muelewe akili ya kitoto hufanya mambo ya kijinga!!!!
Duh, mbona mkali hivyo mkuu, ulipata mimba form ngapi!? Hata hivyo si mmeambiwa mjenge shule zenu za wazazi. Hili swala nalifananisha na harakati za mashoga kuwa sehemu ya kanisa, na kile kifungu kinachokataza hiyo dhambi kisiwe sehemu ya mahubiri.
 
Back
Top Bottom