Hawa ndio mademu wa kitanzania

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
1. Akigombana na mwanaume utasikia akisema "una mambo ya kike wewe", akishasema hivyo basi mwanaume huwa mdogo kama piritoni na kuufyata(hata kama yeye ndio kakosewa).

2. Wengi wana kasumba ya kuwafananisha wanaume wanaogombana nao na wanawake kwani wameshaujua udhaifu wa wanaume wa TZ.

3. Wajuaji, na akiona mkaka hana shobo naye, basi hufanya juu chini kujilengesha ili atongozwe, na akishatongozwa humkatalia kwa dharau na kumfanya ajione mavi.

4. Wengi wana mambo ya kienyeji sana, ni ngumu kuwakuta wakijadili uchumi, siasa za kimataifa, sayansi n.k

5. Wana kauli mbovu kwa wanaume na hawapendi kujishusha hata kama wamekosa kwa kuwa wameshajua udhaifu wa wanaume kutopenda kuambiwa wana mambo ya kike.
 
Ila kweli Madem ya Bongo dah acha tu...???

1.Kuwaza kubandika kope.

2.Kubandika kucha

3.Kuvaa Wigi ama kusuka Nywele bandia

4.Kutafuta ela kwa Nguvu amiliki simu nzuri hapa ata Mtandao unaingizwa bando la kutoshaa.

5.Mengi mavivuu maana hata bustani wala maua wanapo ishi hayawezi kupanda.

6.Kazi kubwa kwao ni kupika na kuosha vyombo tuu basii akizidi basi kudeki.

7.Kwa siku anaongea sanaaa kuliko kukaa kimyaa na kupumzika ili akili ifikirie.

8.Wanapenda sana story za kwa mpalange kuliko umbea.

9.Ikifika usiku wote kwenye Kulfi na Ertugru hawa ni wale kidogo wanamaisha ila wale wa Buguruni kwa mnyamani ndo kumekucha... Ni mwendo wa kuutembeza uvungu.

10.Wanaona sana wivu wakisikia mwenzao kapata mume hukosa Amani kabisaa na hata wengine wanadiriki kwenda mwa waganga ili mradi tuu mwenzao asifanikiwe.

11.Akili za kitaaluma na Science zimekufa kwao kabisaaaaaa. Maana hata ukimuuliza Flight mode kwenye simu yako inamaanisha nini hajuii.

12.Anaweza uza nyapu + Chemba ili tuu akanunue simu ya Ghara alafu anaishia kusoma umbea Inst na kuchati wasap magroup ya kisee.

Acha niishie hapo zikijaa na zingine ntaendeleaaa...




Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kama ulikuwa unarafiki wa kike anatumia tecno na anasuka mabutu mkapoteza kwa muda mrefu baadae mkaonana tena anamiliki iPhone braza hakikisha humshobokei unaweza kumtext halafu hasikujibu
Madem zetu hawa wakishapata sponsor huwa wanaona wameshayapatia maisha
 
Mwisho wa siku sisi ni kama maji tu, usipoyanywa utachambia.....

Natembea na kauli ya Mwenye enzi tuu “ Tamaa yako itakua juu ya mwanamme”
Conclusion. Wanawake wanawatamani zaidi wanaume kuliko mwanaume anavyomtamani mwanamke sema wanawake wamejua nguvu ya kuhold mahisia yao na kuwa passive.

Ndo maana akijutamani atakupa mitego yote
 
1.Usipowapa hela wanakuambia hunijali,hunipendi😂😂

2.Wana mizinga sana,shida zisizo isha

3.unaweza msaidia sana,ila ikitokea siku
Kakuomba msaada,kitu basi misaada yote
Uliyompa nyuma ashasahau

4.kumgegeda lazima mpk umtoee

Ova
 
Back
Top Bottom