Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,378
Katika hali ya kustaajabisha na kusikitisha weekend hii nilibahatika kuona kituko cha professor mmoja wa lugha ya kiswahili hapo UDSM...
Nimestaajabu kwa kuwa sitaki na sipo tayari kuamini kama kweli PROFESSOR wa nchi inayohitaji msaada wa wasomi wa kada yake anaweza kujisahau na kufanya VITUKO vinavyofanywa na Ma-bedeshee na wahuni waliozoeleka mjini....AIBU SANA KWAKO WEWE PROFESSOR NA KWA WANAZUONI WOTE WA TANZANIA...naomba kama kuna hatua za kinidhamu zinazoweza kuchukuliwa kwa watu wa aina hii ya professor tuzijadili na waadabishwe mara moja.
MUNGU IBARIKI TANZANIA....
may be anaitwa hivyo ...ila kwa tabia hiyo "PROFESSOR" .....ni aibu tosha ....wake wawili ndio kigezo cah kumiliki meza baa?...sie kama watanzania tunamtegemea yeye kuwa thinktank ya nchi hii....ila kwa mtazamo wako bi natasha naona umekubaliana na tabia za professor wako...pole sana ila naheshimu maoni yako
Exactly....................!
Nani anajali?
Simsifii ila nasema hayo mambo ya kumiliki meza baa ni mambo binafsi zaidi ungesema anatumia pesa za chuo na yuko hapo na wanafunzi aliowashika kwenye kozi work ningekuelewa achan naye mkuu.
may be anaitwa hivyo ...ila kwa tabia hiyo "PROFESSOR" .....ni aibu tosha ....wake wawili ndio kigezo cah kumiliki meza baa?...sie kama watanzania tunamtegemea yeye kuwa thinktank ya nchi hii....ila kwa mtazamo wako bi natasha naona umekubaliana na tabia za professor wako...pole sana ila naheshimu maoni yako
Katika hali ya kustaajabisha na kusikitisha weekend hii nilibahatika kuona kituko cha professor mmoja wa lugha ya kiswahili hapo UDSM...
Mwanazuoni huyu anamiliki meza na viti viwili katika baa moja kongwe iliyopata kuwa maarufu mitaa ya mwenge karibu kabisa na kituo cha daladala cha ITV. Meza hiyo anayomiliki mwanazuoni wetu hupambwa na vinywaji na kibao kilichoandikwa V.I.P kuanzia asubuhi mpaka atapokuja mh. professor toka huko mlimani ambapo hufika na kukaa na nyumba ndogo yake na ni MARUFUKU kwa mwananchi yeyote yule kukaa katika meza hiyo ya Mwanazuoni wetu huyo V.IP.
Nimestaajabu kwa kuwa sitaki na sipo tayari kuamini kama kweli PROFESSOR wa nchi inayohitaji msaada wa wasomi wa kada yake anaweza kujisahau na kufanya VITUKO vinavyofanywa na Ma-bedeshee na wahuni waliozoeleka mjini....AIBU SANA KWAKO WEWE PROFESSOR NA KWA WANAZUONI WOTE WA TANZANIA...naomba kama kuna hatua za kinidhamu zinazoweza kuchukuliwa kwa watu wa aina hii ya professor tuzijadili na waadabishwe mara moja.
MUNGU IBARIKI TANZANIA....
ahahahaha....kioo cha jamii V/S maisha binafsi....patamu hapo. tatizo hapa sio prof asiwe na maisha yake...ila maisha yake ya-reflect heshima na wajibu wake kwa jamii inayomuheshimu. Nani kati yetu hajui umuhimu wa ma-professor kwa maendeleo ya nchi yoyote ile duniani??...hawa ndio wazee wa kupekua vitabu na kufanya reserches zinazoipelekea nchi kuwa na ustawi bora wa maisha ya watu wake..wanabeba DHAMANA kubwa sana kwa maendeleo ya nchi.
Maisha binafsi yana mipaka kulingana na majukumu ya mtu katika jamii ile...kwa upande wa prof. ni mwalimu wa watu so tunatarajia matendo yake yawe pia elimu kwa watu ..awe mfano wa kuigwa...tuige nini sie wanafunzi wake katika hayo afanyayo???..