Hawa nao wanamaanisha NN?

Hawa nao wanamaanisha NN?

LexAid

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,931
Reaction score
774
cheche.jpg
 
Anaongeza ladha kwenye bia, hii kitu uwa ina matumizi kede wa kede
 
Ndio maana pombe ikawa haramu.
 
Anaweza akawa anamaanisha Safari huishia pale!
Na pia anaweza akawa anatesti kama itanata/itashika ili asiendelee. Lakini kama haikunata manake anamalizia kwa kuubeba mzigo huo.
Pombe sio haramu, wala mwili wa binadamu sio haramu. Haramu ni matendo ya mtu yanayoongozwa na tamaa binafsi. Manake usione kichaka wataka jisaidia.
 
kuna opener hapo so anafungua bia yake au labda anakinga kojo anywe...
 
Inamaanisha ukizichanganya hizo bidhaa mbili unapata utamu usio na kifani.
 
Huyo naye anaenjoy kuguswa na hilo lichupa,ngoja mshika chupa aongeze nguvu kidogo ndio atajutia kuwa mwanamke!!
 
yani huyo mwenye shati jeupe anatamani kama yeye ndio angekua hio chupa, lol
 
Ndio maana pombe ikawa haramu.

Mbona tunasikia watu wa dini-wachungaji, walokole, maustadhi, mapadre, mashehe wanabaka. Hao wote hawanywi pombe, usiisingizie pombe. ni tabia yako tu mtu
 
Jamaa anaeleza hisia zake. Upuuzi mtupu anatia najisi kinywaji bana
 
uyo dada aangalie ile ishu inaweza ikalewa bure na uyo jamaa mwenye chupa anaonekana anayo giza xana
 
Back
Top Bottom