Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Mgombea wa nafasi ya Ubunge jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Hawa Subira Mwaifunga amekutana na kuzungumza na kikundi cha wanawake na Samia mkoa wa Tabora;
Ambapo amewashauri kuendelea kukiamini na kukichagua tena Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai kwamba ndio chama kinachoongoza katika kuwaletea maendeleo na kuwainua wananchi kutoka kwenye umasikini hivyo ni muhimu wanachi wakakipa tena ridhaa ya kuiongoza serikali ili kikaendeleze azma hiyo.