Hawa Mozila Vipi?

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
633
Wakati natumia internet hapa nimeona alert Mozila 8 is available to download.
Mimi nashindwa kuwaelea mbona kuanzia version 4 wamefululiza kutoa verion mpya fastafasta? Lakini pia mbona sioni tofauti yoyote kati ya version 6 na 7,ziko sawa tu. Au hii ya 8 itakuwa na jipya gani? Mbona Google Chrome na Safari browsers zao ziko fresh tu lakini wao hawaupdate haraka haraka hivi?

Nawasilisha.....
 
Hii inatokana na bugs ambazo zinakua submitted by users, so inabidi watoe version mpaya ili kuweza kufix hizo bugs zilizojitokeza... lazma kutakua kuna tofauti kati ya version moja na nyingine jaribu kuchungua vizuri utaona tofauti... af pia version zingine ni kwa ajili ya development na sio beta version, ndo maana yanatokea mabadiliko
 
Mozilla sasa wanapoteza mwelekeo. Firefox is no longer what it used to be, which is kind of sad!
 
Back
Top Bottom