Hawa mlimani TiVii vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa mlimani TiVii vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng'wanangwa, Oct 18, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 896
  Trophy Points: 280
  cku moja nilisikiliza taarifa yao wakidai yule mjeda wa Taifa Teule Takatifu Mali ya Wayahudi Wapalestina ni makimbizi anayeshiliwa mateka na magahidi wa Hamaz kule Israel ya Gaza ati walidai ameachiwa kwa makubaliano ya kubadilishana na wajela-jela wa kipalastina.

  lakini mpaka leo asubuhi nimeskia yule dogo hajaachiwa, ndo kwanza mchakato wa kumuachia unaanza kutekelezwa.

  sasa hawa wasomi wetu wa Elimu kwanza walishindwa kutafsiri habari kutoka vyombo vya nje au? au ndo mambo ya field za kuuza sura kwenye TiVii?

  Samtaim mnaboa bana.

  Acheni izooo.
   
 2. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Nilipita...
   
 3. G

  Greard Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mbona kaachiwa tayari. Mlimani TV hawana tatizo labda liko kwako mkuu
   
 4. twahil

  twahil JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 3,590
  Likes Received: 1,971
  Trophy Points: 280
  Tatizo lake hajasomea chuo kikuu cha dar es salaam ndio maana anaongea bila evidence.
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 896
  Trophy Points: 280
  heeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

  kumbe kutokusoma UDSM ni tatizo?
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Jifunze jinsi ya kuwasilisha ripoti ili kila msomaji akuelewe.
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  kwahiyo wote waliosoma Udsm wana evidence. We vipi!
   
 8. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Naona hata thread yenyewe imeandikwa kimjini mjini aka. kikijiwenijiweni. Hii inaonyesha wewe ni mtu wa kulaumu tu bila kushughulisha ubongo wako.
   
 9. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Aliyeripoti alikuwa ahmada kilaza
   
 10. Mwita Matteo

  Mwita Matteo JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: May 16, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Unaongelea SWAP DEAL..huja justify kwanini Mlimani TV wamedanganya coz hujatuambia umesikia nini kutoka kwenye vyombo vya habari vya kimataifa...Japo hiyo habari ya Mlimani Tv sijaisikia ila karibu wiki mbili sasa kama sijakosea vyombo vya habari vya kimataifa vimekua vikitangaza hivyo hivyo...Japo huyo dogo ni leo mida kama ya saa 5 au 6 kwa huku kwetu ndio amekabidhiwa kwa serikali ya Israel
   
 11. h

  hubby Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hey guy, its not me, its your tv. samsung tv ......the best shoots.......
   
Loading...