hawa mapacha wanafurahisha

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,985
2,770
458002-china-education-quadruplets-with-numbers-on-heads.jpg

hii ndiyo link yake
http://resources2.news.com.au/image...ucation-quadruplets-with-numbers-on-heads.jpg
 
mi inanichanganya.....hivi mapacha ni lazima wawe ni wawili.....au hata wakiwa sita bado ni mapacha...?...nini maana ya neno 'mapacha'......
 
mi inanichanganya.....hivi mapacha ni lazima wawe ni wawili.....au hata wakiwa sita bado ni mapacha...?...nini maana ya neno 'mapacha'......
Preta, maana halisi ya mapacha ni "twins" na ilimaanisha wawili tuu, ila Kiswahili, mapacha maana yake ni kuanzia twins na kuendelea. Kiingereza twins ni mapacha wawili, threeplets ni mapacha watatu, quadroplets ni mapacha wanne, sijawahi sikia mapacha 5, ila mapacha sita wanaitwa sextuplets.
 
mapacha ni wawili
MadameX, kwa ligha ya Kiingereza, mapacha ndio twins, ila kwa lugha ya Kiswahili, neno mapacha ni jina la uzao zaidi ya mtoto mmoja, wakiwa wawili ndio huitwa mapacha, wakiwa watatu huitwa mapacha watatu, mapacha wanne mapacha sita etc.
 
Wakiwa zaidi ya wawili wanaitwaje?. Kwa kiingereza kuna maneno tofauti yanatumika.
one baby - singleton two babies - twins
three babies - triplets
four babies - quadruplets or quads
five babies - quintuplets or quints
six babies - sextuplets
seven babies - septuplets eight babies - octuplets
 
Back
Top Bottom