SAWEBOY
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 241
- 174



Je wameshaolewa na wana familia zao? Maana sijasikia skendo zao hawa mabinti....! Au ile ELIMU waliyoipata pale UDSM imekuwa very useful to them kuweza kujitambua?
Maana Anjela Damas na S. Bahame kwa wale ambao walikuwa UDSM 2002/2003 to 2005/2006 watawakumbuka sana hawa mabinti.
Bahame yeye alikuwa kitivo cha sheria (LLB), wakati Anjela yeye alikuwa anasoma Bachelor of Sociology. Sasa nashangaa anjela mbona haji-socialize na kutaka kuonekana na jamii?
S.Bahame je...ni masharti ya kazi au??
NB: Wapo wapi hawa watoto wazuri?? Anayejua please.